Recent content by hagau

  1. hagau

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kuuza bidhaa za forever

    hii forever bado ipo? Vitu vinadumu sana, seems watu wanakufa hii kampuni na waliopo wanasonga mbele. Way Back 2008 chuoni walipigwa sana na utapeli wa bidhaa zao za Forever.
  2. hagau

    JamiiForums Tanzania Akamatwa na ubuyu inasemekana una bangi

    Watupe details wanaomjua, maana siku hizi housegirl wa Dubai ana mwaka mmoja kazini anamiliko nyumba na range mtaani
  3. hagau

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2010 bajaj ziliuzwa 4m-6m leo zinancheza 10m+. Michango ya harusi ilikuwa 20k -30k, leo zinacheza 80k-120k. Ardhi 20x20 ilikuwa 1m-2m, leo 4m+

    Unataka kusemaje? Sometime watu hawafanyi vitu sababu hawana uwezo wa kifedha, uwezo wa maarifa, uwezo wa exposure n.k.
  4. hagau

    JamiiForums Tanzania Baada ya kufika ukweni nilichokiona

    😃
  5. hagau

    JamiiForums Tanzania Naombeni mnitakie heri ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwangu

    Yule mtoto wetu vipi ? Mlete tusherekee nae pamoja. Nakutumia laki 1 userebukishe Moyo
  6. hagau

    JamiiForums Tanzania Tulia Ackson asipowahiwa kuna dalili akawehuka

    High expectation katika jambo
  7. hagau

    JamiiForums Tanzania Deo Ndejembi kuwa Makamu wa Rais

    😃
  8. hagau

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mambo yanazidi kuwa mambo! Hata Baraza la Mawaziri kuvunjwa kuunda jingine!

    Mbona yakitimia hamrudi kusema pombe si chai tena
  9. hagau

    JamiiForums Tanzania Nimevumilia Usaliti wa Mke wangu kwa Miaka, Simu yake imenifungua Macho

    Subscribed for Mwigobero and Kinesi
  10. hagau

    JamiiForums Tanzania Kwanini mume wangu hawapendi NDUGU ZANGU?

    Huenda 1. huko nyuma uliqah mdanganya mtu fulani ni ndugu yako halafu akaja akajua anakumega 2. Kuna kitu aliwahi kukukataza ila kwenu walivyo kushauri ukakifanya, kumaanisha ukadharau katazo lake ukatii la wa kwenu (lazima awamaindi) 3. Huenda wakati hamjajipata (mkiwa hamjapata fedha)...
  11. hagau

    JamiiForums Tanzania Machimbo ya Kariakoo yapo usiku wa manane tu, mchana hutayaona utadalaliwa tu

    Usiku una siri gani? 1. Ukitaka mafanikio makubwa (plan au ndoto halisi hufanyika usiku). 2. Watoto wengi huzaliwa usiku, nadhan hata mwamzisha uzi huu ulizaliwa usiku. 3. Vifo vingi pia hutokea usiku. 4. Usiku unabeba nini lakini? Kwa hoja hizo naweza kukubalia yamkin uzi wako una ukweli
  12. hagau

    JamiiForums Tanzania Homa Sugu & Uchovu: Natafuta Tiba Asili

    Kuna comment nimeitafuta sijaiona kabisa, Mimi niulize kimoja tu, je ukilala usiku una sweat na kuloanisha shuka?
  13. hagau

    JamiiForums Tanzania Sababu za Jenerali Ulimwengu kuzinguana na Mkapa hadi kunyang'anywa uraia

    Nimesoma yote pamoja na kuwa mvivu wa kusoma makala
  14. hagau

    JamiiForums Tanzania Mtazamo binafsi: Hatua anazopitia mwanamke baada ya kuachika kwenye ndoa yake

    Kiwanda cha stress halafu mtandaoni show off 24/7 Ukitaka kujua mtu kajaa stress ni status
Back
Top Bottom