win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 9,593
- 32,791
kumbe bado kijana mdogo,, haya mtafute huyo member nilio mtag hapomimi ni wa kiume
Umri miaka 19
Elimu form four
kumbe bado kijana mdogo,, haya mtafute huyo member nilio mtag hapomimi ni wa kiume
Umri miaka 19
Elimu form four
shida ame limit nyuzi zake kuziona vp lakini wewe broo umetoboa au bado unajitafuta kama umetoboa unipe muongozokumbe bado kijana mdogo,, haya mtafute huyo member nilio mtag hapo
bado najitafuta sijatoboashida ame limit nyuzi zake kuziona vp lakini wewe broo umetoboa au bado unajitafuta kama umetoboa unipe muongozo
Hakuna biashara mpya. Angalia wanaokuzunguka wanafanya nini kinawalipa na wewe iga. Ukifanikiwa ya kwanza ndio tafuta nyingine au buni nyingine.Ndugu zangu watanzania wenzangu,kaka zangu,dada zangu,baba zangu na mama zangu.
Naombeni mnishauri aina ya biashara nayoweza kufanya na nikapata mafanikio ndani ya mda mfupi mfano ndani ya miaka mitano niwe angalau nimenunua kiwanja changu na nimejenga nyumba nzuri
Au unaweza ukanipa muongozo kwamba dogo tafuta kiasi fulani cha pesa ufanye hivi na hivi.
Au unaweza ukawa una biashara unayofanya na unahitaji kupanua matawi unaweza ukanichukua nikusaidie halafu uwe unanilipa. naweza kufanya angalau kwa muda fulani angalau nipate pa kuanzia.
Napo sema naomba msaada ukweli naomba msaada iwe ushauri iwe ni kuniajiri yote sawa
Naombeni wale mnaotukana msinitukane
Umenena vyema mkuuHakuna biashara mpya. Angalia wanaokuzunguka wanafanya nini kinawalipa na wewe iga. Ukifanikiwa ya kwanza ndio tafuta nyingine au buni nyingine.
asante kwa ushauri mzuriHakuna biashara mpya. Angalia wanaokuzunguka wanafanya nini kinawalipa na wewe iga. Ukifanikiwa ya kwanza ndio tafuta nyingine au buni nyingine.
Ili usaidike ni vema ukawa muwazi unuzi, elimuNdugu zangu watanzania wenzangu,kaka zangu,dada zangu,baba zangu na mama zangu.
Naombeni mnishauri aina ya biashara nayoweza kufanya na nikapata mafanikio ndani ya mda mfupi mfano ndani ya miaka mitano niwe angalau nimenunua kiwanja changu na nimejenga nyumba nzuri
Au unaweza ukanipa muongozo kwamba dogo tafuta kiasi fulani cha pesa ufanye hivi na hivi.
Au unaweza ukawa una biashara unayofanya na unahitaji kupanua matawi unaweza ukanichukua nikusaidie halafu uwe unanilipa. naweza kufanya angalau kwa muda fulani angalau nipate pa kuanzia.
Napo sema naomba msaada ukweli naomba msaada iwe ushauri iwe ni kuniajiri yote sawa
Naombeni wale mnaotukana msinitukane
Ili usaidike ni vema ukawa muwazi ujuzi, elimuNdugu zangu watanzania wenzangu,kaka zangu,dada zangu,baba zangu na mama zangu.
Naombeni mnishauri aina ya biashara nayoweza kufanya na nikapata mafanikio ndani ya mda mfupi mfano ndani ya miaka mitano niwe angalau nimenunua kiwanja changu na nimejenga nyumba nzuri
Au unaweza ukanipa muongozo kwamba dogo tafuta kiasi fulani cha pesa ufanye hivi na hivi.
Au unaweza ukawa una biashara unayofanya na unahitaji kupanua matawi unaweza ukanichukua nikusaidie halafu uwe unanilipa. naweza kufanya angalau kwa muda fulani angalau nipate pa kuanzia.
Napo sema naomba msaada ukweli naomba msaada iwe ushauri iwe ni kuniajiri yote sawa
Naombeni wale mnaotukana msinitukane
Troll JF vipi huu mpango mmefikia wapiTafuta 50,000,000 uje tuungane kupeleka bidhaa fulani mkoani wateja ni uhakika unawapigia simu tunapeleka units 1,000 kuna wengine wanataka 300, 200,100, 500 pesa bank faster!
No one showed up mzeeTroll JF vipi huu mpango mmefikia wapi
May be sababu zifuatazoNo one showed up mzee
Katoro watu wanaodai life ni expensiveKwa vile wewe ni wa Kiume hamia KATORO, komaa pale utatoboa
Sikuwahi ku convince mtu anipe pesa ni mpango wa kukutana na kupanga pamoja then tunaanza business kwa paper work kufungua kampuni kabisa ya partnership ila nimekaribia kufanya mimi mwenyewe nikihitaji pesa nitakopa bank nina assets ambazo naweza kutumia kama collateralMay be sababu zifuatazo
1. Hukuweka funny ya mpango ukoje
2. JF viwango vyetu wengi ni 5-10M Tu
3. Watu kuwa na Imani ndogo