Recent content by H20

  1. H

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Paja la askari mmoja limevimba sababu ya mazoezi ya kukabiliana na UKUTA
  2. H

    Prof. Lipumba: CHADEMA wamepoteza dira

    Kama Prof alikosa uzalendo kwenye UKAWA na matokeo yake CUF kupitia UKAWA wamepata wabunge na madiwani wengi ikilinganishwa na kipindi chake hii inaonesha kuwa Prof alifail katika mission yake. Sasa kama anarudi na slogan ya HAPA HAKI TU hiki ni kichekesho kingine. Nashauri CUF wakimaliza issue...
  3. H

    Magufuli ni binadamu, dalili za kuchoka tayari zipo wazi

    Majipu mengine ukiyatumbua kwa pupa utatengeneza FISTULA
  4. H

    nani atarudi nyumbani na amani

    Huyu mwenye suti nyeusi atatoka na Amani.
  5. H

    Rais Magufuli na Slack Management Style, Utekelezaji mbaya wa Ilani ya UKAWA

    Well said, namuunga mkono rais JPM ila inabidi awe visionary. Sioni vision yake bado.
  6. H

    BIL. 10 alizopiga Mbowe toka kwa Lowassa, hizi hapa

    Mdau kwani Club Bills ilipofungwa kwa miezi sita ilikuwa inasubiri pesa ya EL? Kwani EL ana muda gani tangu ajiunge CDM? EL atoe 10billion kisa? Unajua maana ya 10Billion au unafikiri ni pesa ya mboga? Naamini JF ni jukwaa la watu makini na wenye umahiri wa kuchambua mambo. Hebu tuachane na...
  7. H

    Mchakato Mahakama ya Mafisadi waanza

    Mbona Nepi alisema alivyosema mahakama ya mafisadi alimaanisha kuboresha utendaji wa hizi zilizopo?
  8. H

    Serikali yafuta Mikutano ya Viongozi wa Umma, Sasa kufanywa kwa Mifumo ya Tehama

    Yetu macho na masikio , siku si nyingi utasikia miundombinu ya TEHAMA imehujumiwa.
  9. H

    Magufuli, acha kujitafutia sifa kwa mfumo huu

    Mbona huyu JPM akiwa WAZIRI alikuwa anatetea safari za raisi na kusema zilikuwa na tija ndiyo maana mabarabara yamejengwa? Hapo hakuwa mnafiki? Namuunga mkono kupiga marufuku safari za nje zisizo na tija ila naye akiwa waziri alikuwa anamtetea raisi wake. Iweje leo?
  10. H

    Mkuu wa Kaya, waombe radhi watu wako kwa niaba ya chama chako

    Hawezi kuwaomba wananchi radhi kwani hajakabidhiwa madaraka ndani ya chama.Kumbukeni Mwenyekiti wa CCM ni JK
  11. H

    Zitto, jiunge UKAWA ugombee kiongozi wa kambi ya upinzani Bungeni

    Atapewa uenyekiti PAC hilo halina mjadala
  12. H

    Mwanae hanitaki kabisa, nifanyeje?

    ''Isitoshe mimi ini mkubwa kwake 34 kwa 21 ni tofauti kubwa sana ya umri, mimi sio age mate wake, mnaobeza tofauti hiyo mnanishangaza sana'' Wewe sio age mate wa huyo kijana kwa tofauti kubwa ya age, je mbona age ya huyo mwanamke 51 vs 34 ya kwako mbona ni tofauti kubwa?
  13. H

    CUF yamtaka Rais Magufuli kuandaa bajeti upya inayotekelezeka

    Lipumba ni Professor asiye na aibu. Yaani nafsi ilimsuta akakimbia leo anarudi anamshauri rais Magufuli. Naona angekwenda kuitisha conference ndani ya Lumumba. Nafsi haimsuti kwa kusaliti chama? Ameondoka tu kwenye chama idadi ya wabunge wameongezeka na Maalim kashinda. Akae kimya aendelee...
  14. H

    Picha: Mpambe wa Rais akiingia bungeni na bahasha yenye jina la Waziri mkuu mteule

    Hiyo picha namba 4. Suti aliyovaa Waziri Mkuu ni tofauti na aliyovaa akipongezwa na Wabunge. Ni picha mbili tofauti. Angalia kwa umakini
  15. H

    Alama/ logo ya Nyoka katika fimbo kwenye mambo ya afya ina maana gani?

    Alikuwa nyoka wa nyama, alitengenezwa nyoka wa shaba
Back
Top Bottom