Recent content by H u n t e r

  1. H u n t e r

    JamiiForums Tanzania Nimegundua Watanzania wengi ni wapole kwa Sababu ya umaskini, ujinga na maradhi

    Ukiwa maskini lazima uwe mpole mkuu.
  2. H u n t e r

    JamiiForums Tanzania Namna mifumo inavyoweza kukunufaisha kibiashara

    1-Maono 2-usaidi 3-maarifa 4-Nguvu ( isiyojali hali)
  3. H u n t e r

    JamiiForums Tanzania Waziri Biteko aagiza watumishi wa TANESCO waliokuwa likizo ya pasaka warudi haraka

    Kuna mtu kauziwa kimeo, muda si mrefu kina mlipukia! [emoji848]
  4. H u n t e r

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Biashara ya Nyumba za Kupangisha Vs Nyumba za Kulala Wageni

    Hongera sana mkuu, uwekezaji mzuri pia nimejifunza kitu
  5. H u n t e r

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wanavutiwa na mambo haya

    Tafuta hela mkuu hayo mengine hawa viumbe wanavumilia
  6. H u n t e r

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukizini na mwanamke nje ya ndoa, Mungu anapunguza Miaka 5 kwenye maisha yako

    Kwanini iwepo upande wa wanaume..???
  7. H u n t e r

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukizini na mwanamke nje ya ndoa, Mungu anapunguza Miaka 5 kwenye maisha yako

    Ukizini na mwanaume nje ya ndoa unapunguziwa miaka 10
  8. H u n t e r

    JamiiForums Tanzania Sababu 3 zinazojirudia kwa kila jamii masikini

    Sio kwamba masikini wote ni wajinga,wavivu au wenye viburi lahasha Kuna watu tunapambana sana ila ndio hivyo tena mifumo inatukataa ila hatujakata tamaa ipo siku mambo yatakua sawa tu inshaalah!
  9. H u n t e r

    JamiiForums Tanzania Adam Mchomvu ana nini hasa dhidi ya Clouds kushindwa kumdhibiti?

    Siku yake yaja itaingia kwenye kikaango cha wakulungwa wata mnyoosha!!
  10. H u n t e r

    JamiiForums Tanzania Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

    Usiku ndiyo huu mkuu, au ulipo halijachwea
  11. H u n t e r

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Lecturer ananitaka kimapenzi, ananitishia yeye ndio mwenye hatma ya matokeo yangu

    Siku nyingine mtu yeyote akikushika tako hakikisha una deal naye Iwe ni kwa kushinda au kupoteza pambano. Haiwezekani una mtengenezea mtu mazingira ya kukutamani na kukuona kama mtoto wa kike, Inakupasa ubadirike uishi kiume, acha minato ya kike kunaji Snap muda wote mpka una mtamanisha...
  12. H u n t e r

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna wanawake wanauelewa mkubwa wa mambo kuliko wanaume kiufupi mi nawaita akili kubwa

    Duh! Kazi kweli kweli
  13. H u n t e r

    JamiiForums Tanzania Mining ni pesa isiyo na jasho

    Unaonaje kama utaanzisha darasa hapa
  14. H u n t e r

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali mrejesheni haraka mwalimu aliyesimamishwa kazi

    Moja, binafsi namuwaza aliye kuwa anarecord wakati mwalimu mkuu akitekeleza majukumu yake alikuwa na lengo gani? Pili, Huwezi fundisha watoto watukutu kwa kuwabembeleza, hujafanya zoezi utaadhibiwa! Mbona hajaadhibu shule nzima? Kwanini adhibiwe yeye? Tatu, uliye share hiyo video ya mwenzio...
  15. H u n t e r

    JamiiForums Tanzania SoC02 Jinsi biashara ya viatu inavyonitoa mavumbini

    Hongera sana mkuu
Back
Top Bottom