Recent content by Gwivax Da Material

  1. G

    JamiiForums Tanzania Uliza chochote kinacho mambo ya ( rohoni ) hasa upande wa giza ( Ufalme wa giza )

    Je kila mchawi anakuwa na majini?
  2. G

    JamiiForums Tanzania Mungu wa walokole ana nguvu sana 1997- 2019! Kumbukumbu zangu

    Nimeambiwa nikutafute nizungumze na wewe. You can whatsapp me 0742420404
  3. G

    JamiiForums Tanzania Andika hapa ndoto zako za usiku ili kukicha uweze kutafsiriwa

    Yaaan acha tu
  4. G

    JamiiForums Tanzania Andika hapa ndoto zako za usiku ili kukicha uweze kutafsiriwa

    Nimeota namuona mwanamke ameshika panga anarizungushaa, nikawa namkwepa lakini baadae nikamshika nikambeba nikampeleka ndani, alikua ni mwanamke mweupe kupita kiasi, nikamvua nguo nikafanya nae mapenzi. But ghafla naona amelaza mtoto pembeni yake, nikamuuliza huyu mtoto wa nani? Akajibu ni mtoto...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi mzee Makamba?

    Anashughulika na ng'ombe wake tu
  6. G

    JamiiForums Tanzania SoC03 Jinsi application ya simu inavyoweza kutatua tatizo la ajira nchini

    Kuna platform kama upwork, thirdchannel, freelancer, latium etc Mi nilipata kaz ya mechandiser marekani katika kampuni ya adidas(but sikwenda)
  7. G

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi mzee Makamba?

    Yupo na mwenye afya njema kabisaa, mi ni jirani yangu
  8. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Evelyn!!! Siku saba ngumu zaidi nilizowahi kuzipitia maishani

    Ilete basi mkuu tuimalize
  9. G

    JamiiForums Tanzania Nguvu za kioo na miujiza yake: Wale wenye imani zenu njooni hapa

    Marehemu bibi yangu alikua ananikataza kujiangalia kwenye kioo nyakati za usiku, sikujuaga kwanini
  10. G

    JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Sasa unapataje free and fair election kama hujabadiri katiba? Muongozo wa tume ya uchaguzi ipo kwenye katiba
  11. G

    JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Unazani wale walioingia madarakani hawakuwa na mipango mizuri kama hii? Unapoingia madarakani jua kuna watu wamekuweka and you will start serving their interest
  12. G

    JamiiForums Tanzania SoC03 Responded Kitambulisho cha Taifa kiboreshwe ili kuendana na ulimwengu wa kidigitali

    Hebu jaribu kufikiri unapoenda kwenye taasisi mbalimbali watataka namba ya NIDA alafu watataka barua ya utambulisho kutoka serikali za mitaa. Wakati kipindi unajisajili ili upate namba ya NIDA ulipeleka barua ya utambulisho
Back
Top Bottom