Recent content by Gwataimbwa

  1. Gwataimbwa

    Godbless Lema amlilia Freeman Mbowe kwa waraka mzito

    Hadi mnyooke kabisaaaaa maana mlimpumzisha kwa lazima sasa mnamlilia ili aje awafanyie nini? Na mliona mnajiweza sasa pambaneni na Hali yenu Sisi tukazindue dira yetu
  2. Gwataimbwa

    WALIMU: Kutokana na Wasilisho la PolePole, huu Ndio Msimamo wetu

    Tiki vema kubwa kwa mama Pia huyo pole pole kasahau madudu aliyoyafanya enzi zake Tz nzima akapatikana mwakilishi mmoja wa chama pinzan bungeni mbona hakukemea wakati huo ? Mwambieni asituvurugie nchi huyo pole pole wenu Kwa mama tunatiki mitano tena
  3. Gwataimbwa

    Naombeni ushauri

    Tayari wewe Uchawi Unakunyemelea Nakushauri Ujiunge nao
  4. Gwataimbwa

    Wimbo huu una "nguvu" ya ajabu sana!

    Hapa ngoja niende kwa Juma nature
  5. Gwataimbwa

    Kama hujawahi kufika jiji la Tanga, basi haya ndio mambo yanayopatikana huko

    Tanga inaongoza kwa watoto wakali maana akili yangu huwaza hayo tu
  6. Gwataimbwa

    Jinsi mabenki yanavyowaibia watumishi wa umma kupitia mikopo

    Wewe fara sana usiwadharau walim
  7. Gwataimbwa

    SINGIDA: Auawa baada ya kufumaniwa na mke wa mtu shambani

    Kwa hiyo ingekuwa mwishoni mwa tendo wangechoma Tako?
  8. Gwataimbwa

    Ni tabia gani ya ovyo huonesha pindi unapokuwa na pesa

    Wewe inatakiwa tuanzishe kikundi Cha pamoja
  9. Gwataimbwa

    Ndugu wawili kunyongwa kwa mauaji ya kikatili

    Safi sana muda mfupi wa kesi pia waliohukumiwa nami nafata wake zao nijilipe wakiwa kifungoni
  10. Gwataimbwa

    Kataa katakata mkeo kutoa jina la mtoto wenu wa kiume

    Kweli bana Kuna demu aliita jina la baba angu mzazi sasa siku mme akijua ataburuzwa sana
  11. Gwataimbwa

    Chupa ya chai na vikombe vya chai juu ya makaburi ni uchawi wa aina gani?

    Hujui marehemu anakuwa anakunywa chai saa 8 za usiku
Back
Top Bottom