Ndugu watanzania hawa watu wamechanganyikiwa ukweli ni huu hapa kwanza neno upinzani ndilo tatizo wakidhani wao kazi zao ni kupinga kila kitu na wafuasi wao wengi wameaminishwa hivyo na mimi pia naamini vivyo hivyo kuwa upinzani nchi hii kazi zao ni pingamizi ktk kila jambo bila kujali nzuri au...
Mhe Rais magufuli tukumbuke sisi makada wa CCM nchi za nje kwa kuwa tunaitangaza vyema nchi ya Tanzania na sera za Chama chetu ila umetusahau sana hata kwenye hotuba zako wala ugusii kana kwamba hatupo mbona mnawashabakia jumuia ya vyuo vikuu ambayo imeanzishwa tu 2012 wakati matawi yetu ya nje...
Sijasema uhuru bali nchi sasa inaongozwa na mhe uhuru kenyata sasa kama comission ya utalii wanafanya hivyo waache mara moja vinginevyo nitawafungulia kesi ICC ya kuujumu uchumi wetu
Ndg:zangu wanatanzania wapenda maendeleo na wapenda Amani kwanza napenda kuchukua fursa hadhimu kwa mada hapo juu kumpongeza Mhe:Rais wa jamhuri wa Muungano wa Tanzania Dkt Jonh Joseph Pombe Magufuli kwanza kwa ushindi wa karne na Dunia nzima ilizizima vyombo vyote vya habari vya Duniani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.