Mh. Rais Magufuli tukumbuke CCM matawi ya nje

Mh. Rais Magufuli tukumbuke CCM matawi ya nje

gwantemala

Member
Joined
Aug 9, 2016
Posts
22
Reaction score
5
Mhe Rais magufuli tukumbuke sisi makada wa CCM nchi za nje kwa kuwa tunaitangaza vyema nchi ya Tanzania na sera za Chama chetu ila umetusahau sana hata kwenye hotuba zako wala ugusii kana kwamba hatupo mbona mnawashabakia jumuia ya vyuo vikuu ambayo imeanzishwa tu 2012 wakati matawi yetu ya nje yapo tangu 1977 na bado hayapewi kipaumbele kwanini? wakati ukiangalia kisiasa na kiuchumi matawi yetu ya nje yana mchango mkubwa sana kwa taifa.
 
Ila nasikia huwa mnaringa na hamshikiki, na kula wenye vyeo ni kupiga na kujaza matumbo yao.

Wengi ma dharau juu kwa wenzao...acha muisome namba kidogo mjitambue kuwa ni chama sio chama cha kuchuma pesa.
 
Back
Top Bottom