gwantemala
Member
- Aug 9, 2016
- 22
- 5
Ndugu watanzania hawa watu wamechanganyikiwa ukweli ni huu hapa kwanza neno upinzani ndilo tatizo wakidhani wao kazi zao ni kupinga kila kitu na wafuasi wao wengi wameaminishwa hivyo na mimi pia naamini vivyo hivyo kuwa upinzani nchi hii kazi zao ni pingamizi ktk kila jambo bila kujali nzuri au baya.
Kwa mfano tu mdogo mtu yeyote kwa wakati wote mahali popote akiwa mbishi watu uamini ya kuwa ni mbishi wa kila kitu na mara nyingine hata mahala ambapo akutakiwi ubishani basi tabia na ulka yake ni kubisha!! Hii ndiyo tabia ya wenzetu bila shaka wanatekeleza hazma yao ya kupinga hata kitu kizuri na mbaya zaidi wanadiliki kupinga maendeleo ya nchi yetu kana kwamba wao ni wageni ila nawashauri wasidhani Tanzania ni kama nchi zingine
Wananchi wengi wanahitaji service delivery na sio ukuta hata wanachodai akina ukweli waache wananchi waamue wenyewe kama walivyofanya kwenye uchaguzi wa kumchagua Rais wetu mpendwa Dr john pombe magufuli:
Kwanza nichukue fursa hii kuwajulisha Watanzania wapenda Amani na maendeleo ni kwamba kwanza Rais Magufuli si Rais wa Wa Tanzania wote kama wengi wanavyodhani isipokuwa ni Rais wa Watanzania ambao hawakumchagua hawakumpigia kura sisi hapa ndiyo Rais wetu tuliomchagua hawa wengine wao ni Rais wao kwa mujibu wa katiba tu na si vinginevyo wasitusumbulie Rais wetu kama wana malalamiko wazipeleke kule walikopiga kura zao au wasubiri wakati mwingine wa vichinjio 2020
Kila siku matamko mara UKAWA mara UKUTA si walijidai kutoka nje bungeni hawakutaka kumsikiliza hotuba leo hii wanachotaka nini? Wao waendelee na misimamo yao ya ajabu kwenye bunge juzi walifunga midomo kwenye bunge la katiba walitoka nje sasa watanzania nasi tuwe na akili sio kila kitu tunakaa kimya hatutokubali watu wachache wenye nia hovu wa kutuvurugia amani ya nchi huu ni muda wa kuisaidia nchi kufikia malengo yake kwa mujibu wa sera za Chama tawala na serikali yake kama vp watafute nchi yenye huo demokrasia waende
Tumewachoka wanasiasa uchwara wenye visasi maana hii ni visasi kama kulikuwa na ushindani kwenye uchaguzi moja kashindwa basi atulie ajipange kwa chaguzi zingine kwanza huu ndiyo nafasi nzuri kwao kujitathmini kwa hatua walioifikia kisiasa badala ya kufanya maandamano na kwa taarifa tu niwaambie watanzania hawako tayari kushikishwa ukuta mkashike wenyewe maana ukuta mbovu usiokuwa imara inaweza kubomoka na kuleta madhara kwa wanyonge uku mwenye jengo lake akilala usingizi mnono!!!