Recent content by gwandi

  1. G

    Mke wangu ameniomba nimtaftie mwanamume wa kumliwaza

    inatakiwa ujiongeze,huyo tayari ana mtu
  2. G

    Picha: Kasri a.k.a Nyumba Mpya ya Mh. Mchg. Dkt Rwakatare ktk ufukwe wa Bahari

    Kweli iko shughuli,hii nyumba sijui ina thamani gani?embu tuambieni
  3. G

    jipatie corolla splinter kwa 2.5M

    kaka tupe mawasiliano na picha tujue ikoje
  4. G

    Kiwango cha mishahara kwa fresh graduates kilichowekwa na serikali

    kweli hapo nimewakubali makamanda wa jamii forum
  5. G

    Hili la URANIUN SONGEA limekaaje??

    Sasa humu imeshakuwa habari zinatumwa zinakuwa ni za uongo, wewe unayeombwa laki sita unataka kutapeliwa,ulishaona wapi ajira za hivyo?mimi huwa naona mtu anaetaka wafanyakazi huwa anagharamikia kila kitu,je iweje leo anaetafuta kazi aombwe pesa?vile vile hilo Tangazo lilikuwa ni la uongo mtupu...
  6. G

    Chadema kaeni chonjo! Moto huu hauzimiki leo ama kesho

    Ndg angalia sana hiyo kauli yako kwani hao watu waliohudhuria mkutano wa CCM jangwani ni wa kusomba kwa malori,wala sio wa hapo maeneo ya karibu,kumbuka chama hiki kina miaka 50 hakina jipya,hivyo watu wamechoshwa na uongo wa kila siku halafu utekelezaji ni sifuri,hakika nakwambia 205 ccm...
  7. G

    Gharama ya Wivu wa Mapenzi hii hapa

    Jamani msitoe hukumu kwani inategemeana na makubaliano yao
  8. G

    Ccm ilitumia milioni 200 kwa mkutano wa Jangwani

    kweli kabisa kaka 2015 CCM itakuwa ni historia,kuwa kulikuwa na chama cha magamba kilishakufa long time.
  9. G

    Mshahara wa serekali pgss 14-15

    Habari zenu humu,je mshahara wenye TGSG ni shilingi ngapi?
  10. G

    Endapo Mawaziri watagoma kujiudhuru

    Ni kwamba ikitokea wamegoma kujizulu,dawa ni kuandamana nchi nzima,tuache kuongelea pembeni,tuonyeshe kwa vitendo.
  11. G

    Kauli mbiu mpya ya CHADEMA

    Nami siko mbali sana na wewe kaka kuhusu kauli mbiu ya chadema,hali kadhalika iwe HAMIA CHADEMA,asante sana.
Back
Top Bottom