Chadema kaeni chonjo! Moto huu hauzimiki leo ama kesho

Nyie pigeni kelele tu mnadhani wenzenu bado miaka ya 2010. Sasa hivi CCM inabadilika. Kinachotakiwa CDM wabadilishe mfumo wa sera zao maana kiukweli kelele za CDM kimewafanya CCM wanabadilika.

USHAURI:

Wanatakiwa CDM wabadilishe mfumo wa Sera zao la sivyo mwaka 2015 itakuwa hivi:-

CCM 75%
CUF 10%
NCCR 7%
CDM 5%
UDP 2.5%
Others 0.5 %

Kuweni chonjo watanzania wanaakili sio wajinga. Vyama vyote vinatakiwa kubadilika

TRUTH SHALL SET YOU FREE

Ala! Nilisahau, hivi daktari aliyekuruhusu Mirembe kwa "schizophrenia" alikuambia urudi lini vile? Maana naona kuna kila dalili za kurudiwa. Naona akili zitarudi 2015 mkisukumiziwa upinzani.
 
Ndg angalia sana hiyo kauli yako kwani hao watu waliohudhuria mkutano wa CCM jangwani ni wa kusomba kwa malori,wala sio wa hapo maeneo ya karibu,kumbuka chama hiki kina miaka 50 hakina jipya,hivyo watu wamechoshwa na uongo wa kila siku halafu utekelezaji ni sifuri,hakika nakwambia 205 ccm kitakuwa ni chama cha upinzani tena sio chenye nguvu,PEOPLES POWER>>>>>>>>>>>>>>>>>HONGERA CHADEMA,WEMBE NI ULE ULE.
 
Hata mimi nisinguka na kazi ningewaambia mje mnichukue nyumba, mnilipe hiyo 5000/= na mnirudishe kwangu

huu ndio mwendo wa kula ccm kura chadema

wajinga ndio waliwao

Ukitaka kufatwa vua gwanda vaa uzalendo.
 
Mimi naomba tenda tu ya kusafirisha washabiki. Nina Coaster 3 na Hino (65 Seating)

Njoo ziandikishe pale Lumumba, maana sasa tunakwenda nchi nzima kukutana na wananchi ana kwa ana na kuwaeleza uongo unaosambazwa na wa Kaskazini.
 
mestod, jana baa yangu ilijaa wateja wengi wote wamevaa njano na noti zao mpya za alfu 5. ila wakawa wanasema hela tumechukua ila kura ni siri ya mtu mwenyewe.

Wao wanang'ang'ania picha tu! Poleni CCM.
 
Lakini katika mioto kuna mioto
Je huo moto CDM unasaidia nn nchi? kama sio uchu wa kutaka madaraka?
Mimi sina msosi na nimelala njaa hao CDM wanakula je ninapata faida gani?
Tuwe wakweli kuzunguka huku na huku na kutoa maneno haina faida yoyo sisi tunataka maendeleo bwana.

Wajaribu japo kuleta maendeleo hata kijiji kimoja Singida ambako watu njaa inawaua. Maneno matupu hayavunji mfupa bwana. Je hapo unasemaje?
Mkuu nimekufuatilia mda mlefu sana nimegundua ni uwezo wako ndo mdogo, yaani ndo mwisho wako wakufikiri!
 
nyie pigeni kelele tu mnadhani wenzenu bado miaka ya 2010. Sasa hivi ccm inabadilika. Kinachotakiwa cdm wabadilishe mfumo wa sera zao maana kiukweli kelele za cdm kimewafanya ccm wanabadilika.

Ushauri:

Wanatakiwa cdm wabadilishe mfumo wa sera zao la sivyo mwaka 2015 itakuwa hivi:-

ccm 75%
cuf 10%
nccr 7%
cdm 5%
udp 2.5%
others 0.5 %

kuweni chonjo watanzania wanaakili sio wajinga. Vyama vyote vinatakiwa kubadilika

truth shall set you free

ni vema kutahadharisha. Naamini kama sio harakati za chadema zinvyooneka kufana na kufaniiwa, ccm wasingekuwa na hata mkutano mmoja
 
CCM oyee! Ni furaha ilioje chama chetu kuweza kukonga mioyo ya wananchi wa DSM waliofurika viwanja wa Jangwani kwa utashi wao na mapenzi kwa chama.

Timu ya jana imetoa salamu tosha kwa CDM kwamba CCM bado ni kipenzi cha wana darisalama kutokana na utekelezaji wa miradi yenye tija kwa wananchi wa TZ. DSM ikiwa ni kiwakilishi cha makundi ya watz toka mikoa yote, uwepo wa makundi mbalimbali ya wananchi ni uthibitisho kuwa CCM ni chombo cha wote tofauti ya CDM chombo kinachomilikiwa na watu wa Kaskazini.

Ni faraja ilioje kuwa mkutano wa Jangwani itafuatiwa na mikutano mingine Kinondoni, Ilala na Temeke ili kuwapelekea wananchi neno la matumaini kabla ya 2015.

Mikutano ya Ilala, Kinondoni na Temeke itafuatiwa na mlolongo wa mikutano katika mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, Kigoma, Manyara, Mbeya, Mwanza, Ruvuma, Shinyanga na Kumalizia Iringa, hapo mwaka 2012 utakuwa umeisha. Miaka 2013 - itakuwa zamu ya mikoa mingine ikiwa na mazishi rasmi ya CDM katika mikoa ya ukanda wa Ziwa.
TAFADHALI MWANA CCM kuwa wazi na jasiri kutetea chama chako; KWA KUVUA GAMBA NA GWANDA, VAA UZALENDO

Ni watu waliolaniwa tu kama wewe ndiyo wanaweza kusema ulichosema tofauti na hivyo wawe wametoka kuitibiwa au wako milembe hospitali, huna hata aibu wewe!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
CCM oyee! Ni furaha ilioje chama chetu kuweza kukonga mioyo ya wananchi wa DSM waliofurika viwanja wa Jangwani kwa utashi wao na mapenzi kwa chama.

Timu ya jana imetoa salamu tosha kwa CDM kwamba CCM bado ni kipenzi cha wana darisalama kutokana na utekelezaji wa miradi yenye tija kwa wananchi wa TZ. DSM ikiwa ni kiwakilishi cha makundi ya watz toka mikoa yote, uwepo wa makundi mbalimbali ya wananchi ni uthibitisho kuwa CCM ni chombo cha wote tofauti ya CDM chombo kinachomilikiwa na watu wa Kaskazini.

Ni faraja ilioje kuwa mkutano wa Jangwani itafuatiwa na mikutano mingine Kinondoni, Ilala na Temeke ili kuwapelekea wananchi neno la matumaini kabla ya 2015.

Mikutano ya Ilala, Kinondoni na Temeke itafuatiwa na mlolongo wa mikutano katika mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, Kigoma, Manyara, Mbeya, Mwanza, Ruvuma, Shinyanga na Kumalizia Iringa, hapo mwaka 2012 utakuwa umeisha. Miaka 2013 - itakuwa zamu ya mikoa mingine ikiwa na mazishi rasmi ya CDM katika mikoa ya ukanda wa Ziwa.
TAFADHALI MWANA CCM kuwa wazi na jasiri kutetea chama chako; KWA KUVUA GAMBA NA GWANDA, VAA UZALENDO

Mfumuko wa bei hausababishwi na bei za Mafuta duniani iweja nchi ka a Burundi na Rwanda zinzopitisha mafuta hapa kwetu zisikubwe na mfumuko wa bei? Tatizo la Mafuta hapa nchini linasababishw ana makampuni ya viongozi wa CCM na watoto wao waliodhi sekta ya mafuta.

JK kuwasamahe wezi wa EPA ni kuvunja katiba na kuwalinda watu waliomuingiza madarakani kwa kutumia fedha za EPA huo ndio ukweli wenyewe. Na dhamba hii ndio inyoitesa CCM hadi itakapoingia kaburini. Toka lini kulinda wizi kukatunza stability ya nchi?

Mgao na ukosefu wa umeme ni moja ya vyanzo vya mfumuko wa bei baada ya viwanda kushindwa kuzalisha ilivyotarajiwa ni matokeo ya viongozi wa CCM kupitia wizara ya Nishati na Madini kuingilia Tanesco na kuifanye ishindwe kuwekeza katika uzalishaji umeme mbadala na ibaki ikitegemea uzalishaji umeme kwa kutumia mitambo ya dharura kama vile IPTL, RIHMOND, DOWANS, AGGREKo n.k ambapo malipo yake kitaalamu hujulikana kama capacity charge na huwa ni ya ghrama kubwa sana kuweza kubebwa na uchumi wa nchi kama Tanzania. Makampuni haya ni mali ya viongozi wa CCM na yalianza kuin gizwa hapa nchini Jk alipokuwa waziri wa Nishati na Madini 1994. Si kweli hata kidogo kuwa matatizo haya ni kazi ya mungu kwa kuwa walioifanya Tanesco isiwekeze katika uzalishaji umeme mbadala ni viongozi wa CCM kupitia wizara ya Nishati na Madini.

Polisi na Magereza ni kwa ajili ya waiba kuku hii ni kweli kabisa ndio maana hivi karibuni hata Nape Naanuye alipokuwa akihutubia mkutano huko Makambako aliilamikia idara ya Mahakama kwa kuchelewesha kesi za Ufisadi. Sasa kama chama chenye dola kinalalamika hii si ni dalili tosha kuwa kimeshindwa kuongoza ikanabidi kikae pembeni.
 
Yaani wapambe na wenye magazeti walivyoandika kuwa "CCM WAJIBU MAPIGO YA CHADEMA"

Nilitegemea kuwa watasema kuna wanachama wa CDM wamehamia CCM na kututajia na idadi.

CDM walipokuwa pale CDM SQUARE walipokea wanachama 3,100 kutoka CCM.

Sasa nilitegemea CCM juzi watangaze wanachama kama hao au zaidi ili kujibu mapigo.

Vinginevyo:- WORKDONE = ZERO.

MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
CCM oyee! Ni furaha ilioje chama chetu kuweza kukonga mioyo ya wananchi wa DSM waliofurika viwanja wa Jangwani kwa utashi wao na mapenzi kwa chama.

Timu ya jana imetoa salamu tosha kwa CDM kwamba CCM bado ni kipenzi cha wana darisalama kutokana na utekelezaji wa miradi yenye tija kwa wananchi wa TZ. DSM ikiwa ni kiwakilishi cha makundi ya watz toka mikoa yote, uwepo wa makundi mbalimbali ya wananchi ni uthibitisho kuwa CCM ni chombo cha wote tofauti ya CDM chombo kinachomilikiwa na watu wa Kaskazini.

Ni faraja ilioje kuwa mkutano wa Jangwani itafuatiwa na mikutano mingine Kinondoni, Ilala na Temeke ili kuwapelekea wananchi neno la matumaini kabla ya 2015.

Mikutano ya Ilala, Kinondoni na Temeke itafuatiwa na mlolongo wa mikutano katika mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, Kigoma, Manyara, Mbeya, Mwanza, Ruvuma, Shinyanga na Kumalizia Iringa, hapo mwaka 2012 utakuwa umeisha. Miaka 2013 - itakuwa zamu ya mikoa mingine ikiwa na mazishi rasmi ya CDM katika mikoa ya ukanda wa Ziwa.
TAFADHALI MWANA CCM kuwa wazi na jasiri kutetea chama chako; KWA KUVUA GAMBA NA GWANDA, VAA UZALENDO

Yaani kwa ule mkutano wa juzi ambao ulikosa mvuto wa maneno; ni kwamba CCM wamejizika.

Kuanzia sasa binafsi sitopaitwa CDM SQUARE tena.

Bali NITAPAITA KABURI la CCM kwani NIMEONA ALAMA HII:-

profilepic 2012.JPG

MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
Kwenye RED ninamaanisha kuwa "KUKALILI" CCM nichama Kibovu sikatai lakini mameanza kubadilika na wanabadilika. Lakini watu bado wanahubiri nyimbo za zilipendwa tangu 2010.

Mfano wa YONA ni kwamba CDM walihubiri maovu ya CCM nao CCM sasa wanabadilika CDM bado wanazungumzia yale yale tu na wanasubiria hukumu ya CCM. Ambayo tayari sasa inageuzwa kuwa zawadi na si hukumu tena wewe unasemaje?

Bro tell me, wewe ni Mtoto wa Kigogo yupi, maana hakuna mtanzania wa kawaida mwenye akili timamu akazungumza hayo mbele ya hadhara.

CCM imekuwa madarakani tangu tupate uhuru, imefanya madudu mengi sana, CCM ilikuwa na muda wa kujirekebisha tangu 2005, lakini hakuna walilolifanya.
Ili niamini kuwa CCM imebadilika lazima ifanye yafuatayo:

1. Wale wote walio husika na uhujumu, ufisadi na rushwa wakamatwe na kufungwa, haijalishi wana nafasi gani katika serikali au chama.

2.Mali zote ambazo CCM ilitaifisha na kufanya zao ambazo zinatokana na KODI za wananchi wote zirudishwe serkalini.

3. CCM na serikali yake ziache kuharibu fedha na kupoteza muda wa wananchi kukimbiza hili dude linalowaka wanaloliita mwenge kwa maana sasa lengo lake lilowekwa na Julius lishapita.

3. Serkali inayoongwa na CCM itangaze kuanzia mwaka huu wa fedha 2012-2013 serikali na idara zake zote ziamie Dodoma, mji ambao umegaramia ( watanzania walichangishwa nyumba kwa nyumba kwaajili ya maendeleo ya dodoma).

4. Shida ya chakula na mfumoko wa bei uwe historia, shida ya umeme na maji isiwepo tena,

5. Mfumo wa elimu urekebishwe ( quality not quantity) shule ziwe na walimu wa kutosha na madawati ya kutosha.

6. Waache wananchi wachague mfumo wa muungano wanaoutaka.
 
Nimefuatilia huu mjadala kwa marefu saana! hawa ni wachache teena wenye uwezo wakujua hata internet ni nin...wameshajua maisha ya sasa ya mtanzania yakiongozaw na ccm yalivyo..sasa piga kura za walio changia ccm na CDM then ujumlishe na ndugu na jamaa zao wote!! ni fact ndogo tuu: sasa Mungu amesema BASI!! waachane wawe huru!!

..nimeipenda hii!
 
jaribu kuwa great thinker annael,
kati ya cdm na ccm nani kapewa jukumu la kukusanya kodi hapa nchini, nikimaanisha ridhaa ya kuongoza nchi? naomba jibu la swali hili.

....asante mkuu,maana hum kuna vilaza!
 
Back
Top Bottom