Imany John
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 2,930
- 1,165
Katika hali isiyo ya kawaida mwanamke mmoja (Mhasibu) amejikuta akilazimishwa na mume wake kuacha kazi kwa kisa cha wivu mkubwa wa mwanaume anayehofia kuwa mkewe anaweza kutongozwa na wanaume. Je, hii ni halali? Wanaharakati wa haki za binadamu na wanawake mnasemaje?
Kama kafunguliwa mradi wa kuku wa kisasa au kama ndo iyo plani ipo njiani kuna ubaya gani?