so how did you ask advice here! what advice did you aspect to get? if your educated person how did you not fix your stupid! who are you by the way? other things does not need to ask an advice! you have seen the reality! lean on it! and take your decision as man,to manage your staff!! don't...
Watanzania tuinuke sasa kwa kujitafutia kipato na kuondokana na umasikini! maendeleo yatafanywa na wewe mwenyewe na sio serikari ikulete pesa nyumbani kwako hizo ni siasa tuu!!
Future strategic ni kikundi/kampuni ya vijana ambao ni commited kujishughurisha katika nyanza mbalimbali za kiuchumi...
Chinene
nani alikupa ushauri wa kuroga na kutembea na mme wa mtu?? yaani atakaye kuoa wewe umemloga! naomba utuambia wewe ni ukoo gani na kabila lako! ili utusaidie tusiwashauri watu waje kuoa kwenu! unawazalilisha hata wanawake wenzio!! wajinga wenzio wanakuchekea! lakini wewe ni unapepo mchafu!
Habari zenu nyote
Natafuta msichana wa kazi mwenye umri chini ya 20 awe mkristo full,mwenye heshima na mwenye maadili ya kikikristo na mwenye kuwapenda watoto na wakubwa naye atakuwa ni sehemu ya familia yetu na atalelewa vyema na kupewa haki sawa na wengine"
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.