Baada ya miaka miwili simpendi tena

Baada ya miaka miwili simpendi tena

Tena akae akilijua hilo na alizingatie SN.... Kwa NN wanaume wengine hamujitambui? Hv kugeuza mwanamke kama tishu mnaon vyema eee!!

Kamaliza kazi aliyotumwa na tamaa ya mwili, mabaya yanamsubiri kwa kumwacha aliyempenda na atalipa tuu, just a matter of time.
 
Maajabu siku hizi !! Kumbe tunauwezo wa kuumba....? Ktk ubora mwanamke mwenye urembo,mali,ukoo na dini !! chaguo lako liwe mwenye dini (mcha mungu) kwa kuwa atkujaali..... nimechafukwa ukimtupa wenzio watambeba na kumtunza !!!
 
Last edited by a moderator:
Nina mwanamke nimedumu naye miaka miwili lakini tatizo ni kwamba simpendi tena, kwakweli binti anatabia nzuri mkarimu na anajua kujishusha. Mimi mwenywe sijawahi kicheat lakini nimekuja kujigundua vitu navyopenda kwa mwanamke ni mwanamke mwenye miguu mizuri(ya bia) mahips na makalio.

Vitu hivyo mimi nikiviona basi nakua hoi, tatizo niliye naye hana hizo sifa za kunisisimua naogopa kumwacha sababu hajanikosea na wala sitarajii aje kunikosea mbeleni, she is loyal tatizo kwa sasa tu ndo hilo hanivutii. Je nifanyeje?
mjomba kuniuliza kwanini nilimtongoza na hana vigezo vyangu ilitokea tu bahati mbaya.

Je kuna mtu alishapitia hii hali?

ukweli ni kwamba mahips na makalio atapata tuu teena kirahisi sana. Tatizo ni miguuu hapa mchina aliboronga. Anyway kwanza apate ivo viwili kwa mchina kilicho baki mtamsaidia.
 
ukweli ni kwamba mahips na makalio atapata tuu teena kirahisi sana. Tatizo ni miguuu hapa mchina aliboronga. Anyway kwanza apate ivo viwili kwa mchina kilicho baki mtamsaidia.

Mmh kwamaana hiyo sisi wenye maumbo ya korosho hatuna chetu
 
Attachments

  • 1433755542236.jpg
    1433755542236.jpg
    7.9 KB · Views: 864
naomba number yake nitangaze ndoa wewe ukiwa busy kutafuta mguu wa bia na tako..
 
mwanzo hukujua kama ivo ndo vitu unapenda???maana umekaa nae kwa mda mref afu leo ndo kama unaznduka usingizin kua hana vitu unavopenda...!!
 
Hizo ni tamaa tu jiulize kazi ya miguu kwenye ndoa ni nini ukishapata jibu ndo umwache tu ila baadae tusitafutane..
 
Nina mwanamke nimedumu naye miaka miwili lakini tatizo ni kwamba simpendi tena, kwakweli binti anatabia nzuri mkarimu na anajua kujishusha. Mimi mwenywe sijawahi kicheat lakini nimekuja kujigundua vitu navyopenda kwa mwanamke ni mwanamke mwenye miguu mizuri(ya bia) mahips na makalio.

Vitu hivyo mimi nikiviona basi nakua hoi, tatizo niliye naye hana hizo sifa za kunisisimua naogopa kumwacha sababu hajanikosea na wala sitarajii aje kunikosea mbeleni, she is loyal tatizo kwa sasa tu ndo hilo hanivutii. Je nifanyeje?
mjomba kuniuliza kwanini nilimtongoza na hana vigezo vyangu ilitokea tu bahati mbaya.

Je kuna mtu alishapitia hii hali?

Wenye makalio na miguu mbona wako wengi town...Kumpata wa kukuheshimu na mwenye tabia njema ndo kaz...Bt usomcheat kama humtaki tafuta njia ya kumwelewwsha na si uendelee kumharibu mtoto wa watu
 
Sasa huez sema sjui wat goe around cumz nini sjui, For us men hyo ktu inatokea unaeza date mtu ambaye kiukweli unajikuta saasa ume fall sehem nyngne na ile ulikua upo upo tu, Sasa uogops kuanzisha mahusiano ambayo moyo umeridhia kisa LAANA???? Binafsii ningeenda kwa ile kitu moyo unapenda, to hell with regrets as lng as I hv chosen the right path, Na moyo umekubali, OVER, Usiombe kukaa na mwanamke roho haijampenda wewe, Waaaaacha kbsa mkuu.....
 
Nina mwanamke nimedumu naye miaka miwili lakini tatizo ni kwamba simpendi tena, kwakweli binti anatabia nzuri mkarimu na anajua kujishusha. Mimi mwenywe sijawahi kicheat lakini nimekuja kujigundua vitu navyopenda kwa mwanamke ni mwanamke mwenye miguu mizuri(ya bia) mahips na makalio.

Vitu hivyo mimi nikiviona basi nakua hoi, tatizo niliye naye hana hizo sifa za kunisisimua naogopa kumwacha sababu hajanikosea na wala sitarajii aje kunikosea mbeleni, she is loyal tatizo kwa sasa tu ndo hilo hanivutii. Je nifanyeje?
mjomba kuniuliza kwanini nilimtongoza na hana vigezo vyangu ilitokea tu bahati mbaya.

Je kuna mtu alishapitia hii hali?

Nipe faida ya hayo makalio na Miguu kwenye maisha yako!!!!! Ulishawahi kuishi maishi ya mwizi unahisi kila saa unakamatwa?Mkuu hawa wadudu wenye hiyo mambo unasema All of them wako wako na mapungufu heri huyo ambaye hana miguu kuliko mwenye kalio na miguu lakin Akili fupi kama Miguu ya Chupi
 
Umbo zuri hata kwa mchina utapata na linaweza likavurugika, tabia njema ndio mpango mzima
 
Siku zote akili na mawzo ya mwanadamu huwa yanabadilika kulingana na mazingira na binadamu ambaye mawazo yake hayabadiliki huyo labda kichaa. Ndio maana wenzetu ulaya baada ya kuligundua hili wakaweka ndoa za mikataba ili kama mmechokana inakua rahisi kuivunja na kila mtu akashika hamsini zake. Tatizo haya mambo ya kulazimishana udumu na mtu hadi kifo kiwatenganishe hili ni tatizo. Wanandoa wakati mwingine hasa waafika hujilazimisha tu kuishi na mtu eti kwa kuwa labda unamuonea huruma, au unawasilikilizia watu watakuchukuliaje, au wazazi watakuonaje? Wewe hayo ni maisha yako hayawahusu hao ambao unawafikiria. Ndio maana kuchepuka hakuishi kwa ajili ya kujilazimisha kupenda wakati moyo haupo kabisa kwa huyo unayeishi nae. Hapo unaudhulumu moyo haki yake.
 
Back
Top Bottom