Recent content by Gwalugano

  1. G

    JamiiForums Tanzania TEKEU hakuna wahadhiri wa history,Waalimu kutoka Secondary kufundisha chuo kikuu.

    Ndugu we soma maliza,acha kulala.Wenzio twataka kuja hapohapo.Hebu nisaidie kuulizia kozi ya Diploma in Librarianship ipo mwezi July?Maana kwenye web sioni.
  2. G

    JamiiForums Tanzania Ajali Mbaya sana hapa KIA

    Tupatie picha ya ajari ndugu tuone
  3. G

    JamiiForums Tanzania Ajali Mbaya sana hapa KIA

    Poleni jamani lakini naamini kuna wenye magari wamepita hapo eneo wametoa msaada aidha wa usafiri au kupitisha ujumbe polisi
  4. G

    JamiiForums Tanzania Being in Njombe, ushawahi ishi, soma, fanyia kazi au hata kupita maeneo haya?

    Wengine bado tupo njombe,ramadhani.Supermarket ya widambe ipo opposite TFA
  5. G

    JamiiForums Tanzania Live updates 02/02/2014:yanga vs mbeya city

    Tuletee matokeo wajameni tunahamu
  6. G

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli mikoa ya Njombe na Iringa mtihani wa darasa la saba umerudiwa kusahihishwa?

    Inasemekana kuwa mtihani wa darasa la saba mikoa ya Njombe na Iringa umerudiwa kusahihishwa na kupata shule mpya zinazoongoza badala ya shule ya BAKITA ni St.Benedict.Je inamaana njia zakisasa zakusahihishia nazo hazifai
  7. G

    JamiiForums Tanzania LIVE Updates ya Simba na KCC Leo Tar 13/01/2014

    Tunashukuru ndugu
  8. G

    JamiiForums Tanzania LIVE Updates ya Simba na KCC Leo Tar 13/01/2014

    Wengine wamesema 3-1
  9. G

    JamiiForums Tanzania LIVE Updates ya Simba na KCC Leo Tar 13/01/2014

    maskini sie.hata lefa hajatuonea huruma kuwa ndio waandaji
  10. G

    JamiiForums Tanzania LIVE Updates ya Simba na KCC Leo Tar 13/01/2014

    Hivi ni ngapi hadi sasa kati ya simba na kcc
  11. G

    JamiiForums Tanzania LIVE Updates ya Simba na KCC Leo Tar 13/01/2014

    Mbona hatari
  12. G

    JamiiForums Tanzania Natamani kufanya maamuzi magumu ila naogopa mamangu atanyanyisika sana.

    Mlete sysmbiosis njombe shule ya mzungu,tena unalia hari baada yakumwambia yalimpata.Nitafute namaa ni 0787992273
  13. G

    JamiiForums Tanzania Bei kuingiza umeme kwenye nyumba umbali kutoka nguzo ni chini ya mita 30

    Ndivyo inavyoitwa kata ya ramadhani
  14. G

    JamiiForums Tanzania Bei kuingiza umeme kwenye nyumba umbali kutoka nguzo ni chini ya mita 30

    Mimi niko Njombe kata ya Ramadhani.Naomba kujua gharama zote ninataka kuingiza umeme kwaenye nyumba ambapo nimeshafanya wiring na ipo umbali wa chini ya mita 30 toka ilipo nguzo
  15. G

    JamiiForums Tanzania Kapugi-Tukuyu: walisema kahawa basi, hailipi- sisi na ndizi tu!!!

    Nali naba Lise,na ba chale,nabingi itolo.Balipo?
Back
Top Bottom