mnyikungu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2009
- 1,963
- 2,479
mbeya city wameshakubali matokeo..wameshalala ha ha ha wanyalu mmelala mbeya city hakuna kitu
subiri mpira uishe wewe
mbeya city wameshakubali matokeo..wameshalala ha ha ha wanyalu mmelala mbeya city hakuna kitu
Na huyu refa sasa...ila hatutishiki
mkuu naona umebakiza kupayuka tu hauna jipya kajipange
Kadi Nyekundu Mbeya Cty
haraf hawa mcc, si ndio walio tufanyiaga fujo kule kwao?
Naona mambo yamekuwa magumu kwa mbeya city..wanacheza ule mchezo wa bora mpira ubaki we uende ama we uende mpira ubaki
ndo sisi kwahiyo??
ndo sisi kwahiyo??
kwa hiyo sie tunawapigia uwanjani mkate midomo
subil leo ngoja nikajiandae
Huu Mpira Ulichezwa Jana Leo Marudio Tu
jaribuni muone tunavyoenda polisi
lazma tulipe kisasi, isipo kuwa uwanjani hata hotelin
Bila shaka we ndo ulikuwa refarii hebu tuambie matokeo yalikuwaje mpaka dakika 90 maana wengine hatujui