Recent content by GwajiBoy

  1. GwajiBoy

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Let love lead! Mama, mtoe Lissu kwenye kuta za gereza

    Kwa uzoefu nilio nao huu Uzi umeanzishwa na mtoto au mwanamke
  2. GwajiBoy

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    03:39 Signed Off
  3. GwajiBoy

    JamiiForums Tanzania Wasomi mnasemaje?

    Ujinga ni nini
  4. GwajiBoy

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Biashara ipi nifanye

    Neither, ilikuwa interim
  5. GwajiBoy

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Biashara ipi nifanye

    Nilikuwa najitolea ila mambo kwa sasa sio mazuri kule
  6. GwajiBoy

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Biashara ipi nifanye

    Kivipi mkuu
  7. GwajiBoy

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Biashara ipi nifanye

    Nilikuwa najitolea
  8. GwajiBoy

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Biashara ipi nifanye

    🤣🤣🤣 Mwamba mmoja hivi
  9. GwajiBoy

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Biashara ipi nifanye

    Habari Mimi ni kijana wa miaka 25+ ninamtaji wa Tah 1M niko shinyanga mjini sasa naombeni ushauri wakuu, 1: Kufugua biashara ya duka la mangi mtaani. Kwa sababu ya ufinyu wa mtaji. Mzunguko mtaani ni mkubwa 2: Kufungua duka sokoni (kibanda kipo hakuna Kodi) ili niwe nachanganya baadhi ya...
  10. GwajiBoy

    JamiiForums Tanzania Wamataizy: Nimeumia sana kumuona kwenye interview ya Mwijaku

    💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯 Nyimbo zake nzuri sanaa Mchana niliiona video akijidhalilisha kwa Mwijaku nikaona ni Bwege kama maBwege wengine NISAMEHE KAKA. Ungetuma ngoma zake nyingine😆😆
  11. GwajiBoy

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo orodha ya mikoa inayoongoza kwa kutoa watu waliosambaa maeneo mbalimbali nchini kwenye fursa za biashara

    Machinga wa vyombo na Vitenge, sio lazima niwataje ila wameishika Dar na mwanza zaidi
  12. GwajiBoy

    JamiiForums Tanzania Simba inaanguka taratibu na wauaji wake ni hawa hapa

    Nakumbuka kipindi Yanga wanapitia magumu walikuja na msemo wao wa kujipa moyo "Tuliipenda wenyeweee acha ituue" asante sana @Kigelegele_Yanga ulitupa ujasiri wa kuipenda timu I love you Yangaaa
  13. GwajiBoy

    JamiiForums Tanzania Matunda matatu yasiyopatikana kiholela mjini

    Unayajua Mavyiru na Mashindwi wewe
  14. GwajiBoy

    JamiiForums Tanzania Biti bora ya HipHop enzi hizo

    Wakuu kati ya ngoma nazopenda kusikiliza sana mojawapo ni ya Rado kiraka-Usiulize, producer alifanya kitu roho inapenda sana. Nick Dizzle apewe maua yake Wallah, 2008 hiyo. Zipo nyingi ila hii inanikosha vibaya
  15. GwajiBoy

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Gwajimanize Vs Samianize

    Wakati wa Mungu ni wakati sahihi
Back
Top Bottom