PreGE2025 Gwajimanize Vs Samianize

PreGE2025 Gwajimanize Vs Samianize

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Gwajimanize 99% Samianize 1%
Chura kiziwi lazima masikio yake yazibuke!! Alivyokuwa hana akili atamalizia hasira zake kwa kuvunja Baraza la mawaziri na kula matapishi yake kwa kuwateua tena wakina January Makamba!
Bibi Kizimkazi kachanganyikiwa na gen Z wa Kenya Bado wanamfanyia utafiti wa account zake za Dubai na Oman ili waziweke hadharani! Kaeni mkao wa kula!
 
Practice what you preach.

Way forward kaitisha gwajima silaha zote kuvaliwa pasipo exception. CCM haitaki utekwaji, si polisi wala dola. Kuna mtu na huyo ndiyo mbaya wetu.

Isolate the enemy what is the use of battling everywhere and including the dead?

We have to grow up.

Vita siyo lelemama! -- alisikika Julius (RIP) akimwaga sera, art of war.
 
Wananchi tukishajua siasa ni mchezo wa fursa akili zitatukaa.

Yuko wapi Shangazi Fatma Karume?? Tuliemsifu kwa kuukemea mliouita udikteta wa Magufuli???
Usichanganye mada tafadhali
 
Way forward kaitisha gwajima silaha zote kuvaliwa pasipo exception. CCM haitaki utekwaji, si polisi wala dola. Kuna mtu na huyo ndiyo mbaya wetu.

Isolate the enemy what is the use of battling everywhere and including the dead?

We have to grow up.

Vita siyo lelemama! -- alisikika Julius (RIP) akimwaga sera, art of war.
Anayosema Gwajima ni kweli so Kila Mwana CCM anakubali utekaji,si Kila polisi , Jwtz au TISS wanafurahi vitendo hivi ni kikundi Cha wachache na masirahi Yao ya kisiasa na kifisadi tu
 
Chura kiziwi lazima masikio yake yazibuke!! Alivyokuwa hana akili atamalizia hasira zake kwa kuvunja Baraza la mawaziri na kula matapishi yake kwa kuwateua tena wakina January Makamba!
Bibi Kizimkazi kachanganyikiwa na gen Z wa Kenya Bado wanamfanyia utafiti wa account zake za Dubai na Oman ili waziweke hadharani! Kaeni mkao wa kula!
Acha yawekwe hadharani tuujue ukweli.
 
Back
Top Bottom