Recent content by gwabos

  1. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania swali la kizushi

    Panya notesbook
  2. G

    JamiiForums Tanzania Nataka niwe komandoo naombeni utaratibu wa mafunzo nijiunge kwa gharama yoyote ile hawa wanaojiita w

    Chezea dog... Utakimbia huku umeshikiria suruari huku kamasi na mate yakitoka kama mlenda. Mh endelea....
  3. G

    JamiiForums Tanzania Hii kasi ya Nyalandu imetokea wapi?

    Kibaya zaidi anaponda tume ya mh j. Lembeli jamaa namuona kama hana nia jema ila kujitafutia ulaji tu.
  4. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natamani kumgegeda house girl wa jirani lakini ...................

    Mkuu unaendeshwa na pepo la ngono! Shauri yako siku moja litakupeleke kumtamani hata bibi kizee jirani yako.
  5. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nani kabakwa nanyan?

    Dv 5 hiyooooooo!
  6. G

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nini tofauti ya jini,pepo na mchawi.

    Habari waJF, 1:-je kunatofauti gani za -Kimaisha, -utendaji kazi na -mwonekano(umbo) baina ya > Majini, >wachawi na >Mapepo. 2:-kama yote (pepo,mchawi na majini) yanamtumikia shetani kwa nini mchawi huweza kujikinga na uchawi kutoka kwa mwingine. 3:- Na kati ya makundi hayo lipi...
  7. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ajuza abakwa na kuvunjwa kiuno

    Mungu, tunaenda waph? Nakuomba baba nyosha mkono wako. Haya yote yataisha.
  8. G

    JamiiForums Tanzania Siri ya kutekwa na kupigwa kwa m/kiti wa CHADEMA Temeke yaanza kuvuja taratibu...

    uuzaji unga,meno ya tembo, ubakaji,kung'oa kucha na meno, mwangosi, mikataba mibovu ya madini, poor school and hospital infrustructure.. nk siyo kaz ya CCM hiyo. Acha ushabiki wa kimagamba.
  9. G

    JamiiForums Tanzania Siri ya kutekwa na kupigwa kwa m/kiti wa CHADEMA Temeke yaanza kuvuja taratibu...

    Kama hizo tetesi ni kweri basi kipigo alichopata kinamstahili na wangemng'oa na meno/makucha.
  10. G

    JamiiForums Tanzania CHADEMA muheza kumekucha ripoti hii hapa

    Mungu saidia chama cha wananchi wataka mabadiliko ya ukweri
  11. G

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Yonah aliyetekwa na ile ya Kova zimetofautiana.

    Kova hafai hata kuwa Mgambo, mtu anapewe rungu la kusimamia aman ya raia, halafu unajigeuza kuwa mwanasiasa na mfitini.
  12. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sifa za Binti wa kimeru

    Wanatoa doz mara moja kwa siku on bed.
  13. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Muamini Mungu kila jambo anaweza(story)

    Hiyo ni kwer, mara nyingi mwanadamu anapoishia ktk juhudi na fikra zake Mungu ndo anaanzia hapo.
  14. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania kuolewa rahaaaaaaaa,kuzaa nako utamuuu

    Uzi wako mzuri! Ila ulipoanza mipasho ndo umeharibu kila kitu.
  15. G

    JamiiForums Tanzania Nampend huyu kaka anaeitwa money stuna.....can we seal a deal?

    Uzi wa ktoto! Kinababu tunaendelea kupekua nyuzi za kikubwaaaaaaa!
Back
Top Bottom