kuolewa rahaaaaaaaa,kuzaa nako utamuuu

kuolewa rahaaaaaaaa,kuzaa nako utamuuu

ulikuwa unatuuliza "material wife" kututega au??

Hahahahha no kuna best yang ananisumbua nimtafutie mke materia wife ndo nikaleta kwenu hako kamtihan
 
Uzi wako mzuri! Ila ulipoanza mipasho ndo umeharibu kila kitu.
 
besti yako anakuomba nin?? Hahaha Mankaa hvi kumbe bado kunawatu wanatongoza hvyo?
 
Last edited by a moderator:
mie nimeolewa. 7 years ago nliolewa na miaka 17 nimepitia mengi magumu na nimepiga hatua na mume wangu,

Kinachonipa faraja daily ni pale kababy kangu ka 4 year kananigongea asubuhi "mama me naenda shule nafurahi namtukuza MUNGU kunipa huyu mtoto wa kiume!
Anatufanya tunatabasamu hata kukiwa hakuna furaha tunafurah!
hakika ndoa ni mtoto jamani

nyie mnaotoa mimba kila siku nakujifanya mnautaka usista du poleni wengne tumezaa na bado twaonekana vibinti kuliko hata wewe unaetoa mimba unakongorokaaa msura wakushukaaa ka mbwa alozaa mapacha unaloooo siye tumezaa na tunakula maishaaaa kwa sanaaaaaaaa

Are you sure?
 
Nooo nliishi na mume miaka 3 ndiyo nikapata ujauzito na mtoto ana miaka 4 naw soma. uelewe

chini ya miaka 18 unahesabika kuwa ni mtoto sasa wewe miaka 17 umezaa! Hizi si ndio mimba za utotoni. Aliyewaozesha kwa wakati huo inabidi akapimwe akili, nadhani wewe hivi vibinti vyetu unavifundisha majanga! Form 4 ulimaliza na miaka mingapi?
 
Waliyoweka hiyo sheri siyo wajinga. Waliangalia mambo mengi ikiwemo ishu ya elimu. Kwa mfumo wa maisha yetu yakibongo ukiwa na umri wa 17 you should be in O level
kwa sheria yangu ni kama bi dada alibakwa vile(kwa sheria ya tz)
 
acha kumtisha mwenzako, maisha ni jinsi mnavyoishi

Mi sijamtisha nimesema kile ninachokifiria, kawaida kama mambo yanakwenda vzr unatakiwa uombe Mungu yasibadilike na ndio dua yetu ckuzote. Inawezekana maisha ni vile unavyoishi km unavyodai, ila mie naamini kwakutegemea akili na uwezo wetu wakibinadamu hatuwezi chochote!!binafsi naamini Mungu ndo anayetuwezesha na wala sio uwezo wetu wakibinadamu. Ni mtazamo wangu tu, wewe pia unawako so hakuna mbaya.
 
Soon na mmimi nitaingiia kweney kipengel muhimu ambacho loh naogopa
 
Umeongea point manka,ndoa tamu sana,ila c kama wanavyodhani wengine,MUNGU ailinde ndoa yako.
 
Hongera sana

Ndoa tamuuuuuuu

Ila mmmh nawe ukikumbilia mgegedo mapema ata 17 tayari hymen kwishnehi

Enjoy ndoa yako

Enjoy wanao
 
Back
Top Bottom