Habari waJF,
1:-je kunatofauti gani za
-Kimaisha,
-utendaji kazi na
-mwonekano(umbo)
baina ya
> Majini,
>wachawi na
>Mapepo.
2:-kama yote (pepo,mchawi na majini) yanamtumikia shetani kwa nini mchawi huweza kujikinga na uchawi kutoka kwa mwingine.
3:- Na kati ya makundi hayo lipi linanguvu kuliko kundi jingine?
4:-je huweza kuonekana kwa macho au ni maumbo dhahania/kufikirika au kusadikika tu?