Recent content by gwa myetu

  1. gwa myetu

    JamiiForums Tanzania Miaka 63 ya Uhuru na 4r za Rais wetu Samia Suluhu Hassan ni msingi wa maendeleo yetu

    4R zimekufa kifo cha mende tangu ajitangaze ye ni chura kiziwi, kifupi wananchi tunajilinda kwasasa, ukijichanganya mtaani na kigari chako kukamata mtu mtu ndo utajua huji wananchi wamechoka
  2. gwa myetu

    JamiiForums Tanzania Must see Movies

    una download kupitia program gani mkuu
  3. gwa myetu

    JamiiForums Tanzania Yanga anauwezo wa kushinda mechi ya ugenini dhidi ya MC Alger kwa sababu hizi

    Hizo mbinu hazikuwepo kwa Ibenge? mkashenyetwa nyumbani
  4. gwa myetu

    JamiiForums Tanzania Jemedari said: wachezaji toka nje ni Kwa ajili ya mechi za kimataifa

    Vipi huko nyuma mwiko Manara aliposema wenye akili ni wawili baba ake na Jk ulimwelewa?
  5. gwa myetu

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Siasa Zetu: Watoto wa wanachama wa CHADEMA wasimamishwa Shule Nkasi kwa maelekezo ya Mkuu wa Wilaya na amri ya mwalimu Mkuu

    kauli za mzazi wao alizozitoa akiwa wapi bwana pimbi? na huyo pimbi mwenzio mwalimu mkuu akitamkiwa akiwa wapi ?
  6. gwa myetu

    JamiiForums Tanzania Usajili wa mpanzu ni kichekesho na hauna tija kwa simba iliyojichokea..

    Dj naomba ule wimbo wa wivuuu, wivuuuu mamaaa
  7. gwa myetu

    JamiiForums Tanzania Chimbuko la amani na utulivu Tanzania ni uimara wa CCM

    Trash
  8. gwa myetu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais William Ruto aipongeza Tanzania kwa kuongoza na kuipiku Kenya kwenye sekta ya biashara Afrika Mashariki

    unasifiwa kinafki nawe umejaa, kweli ccm imejaa mavilaza watupu akiloi makamasi
  9. gwa myetu

    JamiiForums Tanzania Je, nikawashitaki au nikubali yaishe?

    mhhh uko na shida, halafu una ka uhaya fulani
  10. gwa myetu

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 ACT waongea baada ya Nondo kupatikana, wasema alipigwa sana na alikuwa kwenye kitisho cha kifo

    waliokuwa wanampiga walitaka nini kwake? au walikuwa wakimuulia nini? hawezi kupigwa bila sababu hata kama ni ya kijinga
  11. gwa myetu

    JamiiForums Tanzania Boniface Jacob: Abdul Nondo kapatikana, yupo Mahututi hajiwezi kwa lolote, hata kuongea ni shida

    ndio hivyo, wawa ache wapinzani wapumue , maana wao wanauhakika wa ushindi
  12. gwa myetu

    JamiiForums Tanzania Boniface Jacob: Abdul Nondo kapatikana, yupo Mahututi hajiwezi kwa lolote, hata kuongea ni shida

    Hivi mbona wananchi wamewaachia uchaguzi washinde hata kwa asilimia 100, kwanini bado wanatesa wapinzani
  13. gwa myetu

    JamiiForums Tanzania Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

    website ya seedr umemaanisha nini? sorry kwa usumbufu
Back
Top Bottom