Je, nikawashitaki au nikubali yaishe ?

Hao wanakijiji wanajua namna ya kukushughulikia kuliko vile unavyofikiria.

Yaani unaamini diwani atasimama na wewe kisa corola wakati wapiga kura wamemtuma kazi ya kukutoa 😂

Ila kama upo local government jua huyo diwani akikusagia kunguni kwenye council unatolewa hapo Zahanati mapema sana ndugu mfamasia.

Jua ni miongoni kwa displinary authority kwako ndugu mtumishi.
 
Sipo local government Ila najua mpaka inafika huko ni kuwa diwani na mtendaji ni wanafiki Sana maana wameruhusu vipi mikutano wa Mimi kuchambwa na wao ni marafiki zangu na haya waliyajua ?

Aisee nitaondoka na kichwa Cha mtu ,kwa upuuzi huu ikiwa sitatolewa hapa naapa ifikapo 2025 simpi Corolla yangu abadani
 
Kaongeze elimu mkuu. Uondokane na io adha koz kata zote zipo ivo ivo ma diwani wanafki kinouma na wenyeviti wao
 
Atakua police kata mkuu haswa haswa ndio watu huonana sana mfamasia ni mara chache na siasa pia sio rahisi
 
Sipo local government Ila najua mpaka inafika huko ni kuwa diwani na mtendaji ni wanafiki Sana maana wameruhusu vipi mikutano wa Mimi kuchambwa na wao ni marafiki zangu na haya waliyajua ?

Aisee nitaondoka na kichwa Cha mtu ,kwa upuuzi huu ikiwa sitatolewa hapa naapa ifikapo 2025 simpi Corolla yangu abadani
Tulia na utulize akili.Usipotulia yale yote yaliyosemwa yatadhaniwa kuwa ni kweli.Kubali kubadilika.
 
Kaongeze elimu mkuu. Uondokane na io adha koz kata zote zipo ivo ivo ma diwani wanafki kinouma na wenyeviti wao
Kaka kuhusu elimu Mimi si haba ndugu ,isitoshe nishafanya kazi kwenye taasisi nyingi za serikali mpaka vyombo vya usalama japo nilitimuliwa Ila sio kwa huu mfumo wa Mimi kuchambwa mbele ya wanakijiji ambao hata ningeamua kuwajibu kwa kingereza hayupo hata mmoja angenielewa .

Mimi kusoma tena siwezi Kaka ,akili ilishakubali elimu nimimaliza kwangu mimi
 
Ila sasa nipende kudeclare interest zangu kuwa ni kweli pombe nakunywa Ila sio muda wa kazi
Basi, Nimepata jibu. Wewe sio mlevi bali ni mnywaji tena nje ya muda wa kazi. Wana lao jambo Kuwa nao karibu, Wapo waungwana wanao kukubali na kukuelewa watakueleza nini hasa kinachopelekea hayo yote.
 
Kaka kuhusu elimu Mimi si haba ndugu ,isitoshe nishafanya kazi kwenye taasisi nyingi za serikali mpaka vyombo vya usalama japo nilitimuliwa Ila sio kwa huu mfumo wa Mimi kuchambwa mbele ya wanakijiji ambao hata ningeamua kuwajibu kwa kingereza hayupo hata mmoja angenielewa .

Mimi kusoma tena siwezi Kaka ,akili ilishakubali elimu nimimaliza kwangu mimi
mhhh uko na shida, halafu una ka uhaya fulani
 
Back
Top Bottom