Recent content by Gvampa

  1. Gvampa

    Wanaume waepukeni wadada wa barber shop

    Kazi za Tip zile, jla wabongo mpaka akulegeze kwa mishiko fulani ndo inaanza jiongeza namba nk. Mpe tip yake kwa sepa.
  2. Gvampa

    Super Bowl 50

    Cam V Sherrif
  3. Gvampa

    Super Bowl 50

    Yeah, I agree...I would put my money on Panthers, they are on fire!
  4. Gvampa

    Super Bowl 50

    Payton deserves at least one Super Bowl Championship...guess this is his last season.
  5. Gvampa

    iPhone 4 Used Quick Sale Tsh 250,000

    Specs; iSO 7.1, 16 Gigs, Black color, clean unlocked IMIE and open iCloud. A few scuffs on the front screen, like new on the back. Offer: Tsh 250,000/- PM for contact!
  6. Gvampa

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Nauza iPhone 4 used, 16 Gb, open iCloud and Unlocked IMEI. A few scuffs on the front screen, no accessories. Bei Tsh 250,000/- Interested buyers send a PM.
  7. Gvampa

    Kamati kuu (CC) ya CCM yampongeza Rais Magufuli, yamtega...

    Tumbua Baba, tumbua...na uwapake dawa iwaingie mpaka wapone huo uzo walioufuga miaka yote ya Vasco da Gama...
  8. Gvampa

    Anachofanya Waziri Mkuu sio sawa, sio haki, sio Good Governance! Ni udhalilishaji na kuaibishana!

    I think its more of cultural thing than a principle issue which Pasco is troubled with. A working culture that has made the Public Service a joke 'shamba la bibi'...yaani mtu unaharibu kazi unajua, unadanganya ila kwakuwa ni kulindana au kuficha uozo basi uitwe pembeni uambiwe kwa upole. Hivi...
  9. Gvampa

    Sitta amjibu Sumaye kuhusu mabehewa mabovu

    Ukisikia wanasiasa waliofirisika fikra ndo hawa. Wao billion zinapigwa mbele yao kimyaaa, Tanzania ni zaidi ya uijiavyo. Sasa hapo amejibu hoja gani kuwa wanachunguzwa, so what?
  10. Gvampa

    Rais Kikwete kuzindua ujenzi wa reli mpya ya kisasa

    Hakina reli mpya zaidi ya Tazara ilyojengwa kwa juhudi za Mwl. Pamoja na kuwa ni standard bado inahujimiwa na wenye vitengo walioweka malori yao barabarani. Reli nyingine zote zimejengwa na mkoloni sema kubadili/ku upgrade reli sio kujenga.
  11. Gvampa

    Mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA Edward Lowassa, akiwa kwenye daladala leo asubuhi

    Kuongea na wananchi ndo maigizo...akili yako haina akili umezoea siasa ya kuhongwa kanga na buku mbili.
  12. Gvampa

    Je, Mungu anaweza kukupa mke mwingine iwapo tayari una ndoa ya Kikristo?

    Mama ako mchawi kweli hutaki kukubali ukweli...
  13. Gvampa

    Hivi Mwanza nalo Jiji?

    Umetembea majiji gani ya dunia?@ dopeboy
  14. Gvampa

    Nampa kila anachostahili mke wangu lakini sina amani na ndoa yangu

    Man up! Anakuona kama shoga yake tu ndani ya nyumba huruki hufurukiti. Man up!
Back
Top Bottom