Recent content by Gutapaka

  1. Gutapaka

    JamiiForums Tanzania Makosa tunayofanya wasailiwa kipindi cha usaili written or oral interview utumishi

    Kuna MTU amewahi kufanya interview ya examination officer Secretariat ya ajira? Naomba dondoo.
  2. Gutapaka

    JamiiForums Tanzania Utumishi Kupeleka Interview Dodoma ni kuwanyima watoto wa masikini nafasi ya kushiriki

    Kuna MTU amewahi kufanya interview ya examination officer Secretariat ya ajira? Naomba dondoo.
  3. Gutapaka

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kutuma maombi HESLB

    Wewe umepata birth verification number kutoka mtandao wa Rita? Maana hilo nalo ni tatizo.
  4. Gutapaka

    JamiiForums Tanzania Application za bodi ya mikopo (HESLB)

    Guarantor page na Demographic page zinaload bila kusubmit... Msaada
  5. Gutapaka

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kutuma maombi HESLB

    Ukiwa unasajili mnufaika MPYA ukimaliza HESLB itakupa Control Number kisha lipa kwa kisha malipo ya serikali...kisha namba ya malipo hapo bandika control number
  6. Gutapaka

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kutuma maombi HESLB

    Habari, Naomba msaada ukurasa wa Guarantor na Demographic information zinaload sana na hazisubmit taarifa. Nitakuwa nakosea wapi? Asante.
  7. Gutapaka

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Kufa kwa Magufuli ni 'Poetic Justice'

    Uko sahihi sana. Hatutakiwi kutumia madhaifu ya watu kukufuru.
  8. Gutapaka

    JamiiForums Tanzania Nani kamuelewa Mwigulu baada ya kuhojiwa na spika Tulia kupitia jibu hili?

    Mapungufu ni mengi sana katika Tozo za kielektroniki. Mfano. Kwa NMB insufficient balance transaction inatozwa 600 wakati mteja hajatimiza azimio lake. Wakati huo huo M-Pesa na Wengineo hawana tozo kwa miamala isiyotimiza azimio la mteja. Kwa ujumla; Mpango huu wa tozo ni kurupuko kubwa kuwahi...
  9. Gutapaka

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuacha kazi ngumu ya kuajiriwa, online jobs (Upwork na Fiverr) zilivyobadilisha maisha yangu

    Mimi Nina akaunti za bure huko kote lakini sijawahi kupata hata kazi ya dolar 1.
  10. Gutapaka

    JamiiForums Tanzania Ajira za ukufunzi vyuo vya ualimu vya serikali

    Watu hawatoi comments mbona. Mje jamani.
  11. Gutapaka

    JamiiForums Tanzania Usajili wa chuo cha ufundi ni kiasi gani cha fedha?

    Natumaini mu wazima wa Afya. Poleni Sana wenzangu walio dhaifu kiafya. Naomba Mnitoe tongotongo wadau wangu. Kwa Muda mrefu nimekuwa nikifuatilia Usajili wa Chuo cha Ufundi. Lengo langu lilikuwa ni Kutaka kujua gharama za Usajili kwa mchakato mzima. Zaidi ya yote, nikipiga simu Nacte hawapokei...
  12. Gutapaka

    JamiiForums Tanzania Kwa hii hali ni mbaya sana ajira za walimu

    Faida kubwa sana. Kuliko Rushwa ya kipuuzi.
  13. Gutapaka

    JamiiForums Tanzania Tujadili Mfumo wa Elimu utakaotufaa Tanzania. Maoni yataunganishwa na kufikishwa Bungeni na Serikalini

    Darasa I-III Uraia, Kiswahili na Hisabati IV-VII Hisabati, Kiswahili, Historia na Ufundi stadi (LEVEL 1) Form I-IV (LEVEL 2-3) Hisabati, Kiswahili, Historia na Ufundi stadi Form V-VI Hisabati, Kiswahili, Historia na Ufundi stadi (LEVEL 4-6)
  14. Gutapaka

    JamiiForums Tanzania Selfika na JF: Snap it. Show it

    Spread ngapi hapo? Isije kuwa kama crash and boom?
  15. Gutapaka

    JamiiForums Tanzania Kwanini niliacha kuwa "MATAGA" enzi za Dkt. Magufuli

    Mpaka mzee amekufa sikubahatika kujua kirefu Cha MATAGA Msaada tafadhali.
Back
Top Bottom