Recent content by Guselya Ngwandu

  1. Guselya Ngwandu

    Tuna Rais asiyepuuza ripoti ya CAG. Hongera Rais Samia

    Nimemkumbuka Mzee wetu Prof Assad. Nimekumbuka alivyoondolewa madarakani kwa mabavu, nimekumbuka ile IST yake siku anaondoka ofisini. Nimekumbuka pia kwamba RIPOTI YA CAG ilikuwa inaogopwa na Serikali na kupingwa vikali. Nimekumbuka wapinzani kuishi kama digidigi pale wanapojaribu kujadili yale...
  2. Guselya Ngwandu

    Kwa sasa tunamuhitaji Rais Samia Suluhu kuliko Katiba Mpya

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania... Kwanza pongezi sana kwa kila anayetamani Katiba Mpya kwa sababu nia ya Rais Samia Suluhu kutekeleza nia yake inaonekana wazi. Kwenye Bunge lijalo la Bajeti, Wizara ya Katiba na Sheria inaenda kuomba pesa kwa ajili ya mchakato wa Katiba Mpya. Ni wazi 'Mama'...
  3. Guselya Ngwandu

    Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

    Jana nimemsikiliza Godbless Lema akisema Rais Samia 'ana nidhamu ya demokrasia'. Ni maneno yanayofanana na kile ambacho Mbowe amekuwa akikisema mara zote, ndicho ambacho Lissu anakisema. Rais Samia Suluhu ni mwanadamu, ana makosa mengi tu. Lakini hakuna jambo zuri sana kwa nchi kama kuwa na...
  4. Guselya Ngwandu

    Mwanza: Yaliyojiri Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA baada ya kuondolewa zuio la mikutano

    Tulioko Mwanza muda huu tutashuhudia kuchokwa na kufubaa kwa CHADEMA. Mkutano wao hauna watu wengi kama walivyodhani. Yani hawajafanya mikutano baada ya miaka 7 halafu watu ndo wachache hivi? CHADEMA INAKUFA
  5. Guselya Ngwandu

    Tuhuma za rushwa TFF

    Mbunge wa Misungwi, mmiliki wa timu ya Gwambina Alexander Mnyeti ameibua hoja zinazoonesha kuwa na rushwa katika mpira wa Tanzania. "Wale watu wanataka uje kwenye mpira kwa ubabaishaji wakikuomba hela utoe,l a sivyo utapangiwa ratiba ngumu hadi uchukie. Unapangiwa kwenda Mbeya unacheza unarudi...
  6. Guselya Ngwandu

    Polisi watii maelekezo ya Rais Samia, wawalinda CHADEMA

    Tulioko Mwanza tumeshuhudia, Polisi wanatii maelekezo ya Rais Samia Suluhu anayetaka viongozi na wanachama wa upinzani wapewe ulinzi wa kutosha wakitimiza haki zao za Kidemokrasia. Mika michache hapo nyumba tuliona viongozi wa upinzani wakikamatwa kila walipojaribu kusimama hadharani kufanya...
  7. Guselya Ngwandu

    Dkt. Chuwa: Hali ya mfumuko wa bei ipo vizuri

    Mtakwimu Mkuu wa Serikali Dkt. Albina Chuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu masuala ya Uchumi na Mfumuko wa Bei wa Taifa amesema hali ya mfumuko wa bei ipo vizuri na ni himilivu ukilinganisha na nchi zingine za Afrika Mashariki na zilizopo chini ya Jangwa la Sahara.
  8. Guselya Ngwandu

    Je, Askofu Malasusa anamchukia Mchungaji Kimaro?

    Nimeona mahubiri Ya Askofu Malasusa akiwashambulia watumishi wa Mungu ambao kwa madai yake yeye, waanaminiwa sana na waumini wao. Askofu Malasusa anadai wachungaji hao wanaamini sana na watu kuliko Yesu. Mahubiri haya yanayoonesha chuki ya Askofu Malasusa kwa watu kama Kimaro (wengine kama...
  9. Guselya Ngwandu

    Makusanyo ya kodi yanavyoimarika chini ya rais Samia

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema usimamizi mzuri wa sera za kiuchumi na fedha sambamba na kujenga mahusiano mazuri kati ya walipa kodi na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kumechangia kuimarika kwa makusanyo ya kodi. Waziri Mkuu ameyasema hayo leo (Jumatano, Aprili 13, 2022) wakati akisoma...
  10. Guselya Ngwandu

    Mnamshambulia Rais Samia kwa kivuli cha January Makamba

    Halafu kinachonisikitisha ni namna mnavyotumia Ukabila, eti tuonekane Wasukuma na watu wa Kanda ya Ziwa kwa ujumla hatumtaki Rais wetu. Ni nani aliyewaroga ninyi? Juzi hapa Joel Luhaga Mpina katoka hadahrani akiwa amekula maharage, akaanza kuropoka maneno. Anamshambulia Rais Samia na Serikali...
  11. Guselya Ngwandu

    Angalia Russia inategemewa kiasi gani na Dunia yote halafu ropoka kwamba Rais Samia napandisha bei ya vitu

    Hizi hapa ni malighafi ambazo Russia wanazisambaza duniani. wanasambaza 8.4 ya mafuta yote Duniani. Mbolea inayotegemewa duniani wao wanategemewa zaidi ya 45% halafu waingie vitani uje kumlaumu Samia kuwa vitu vinapanda bei? MamaYukoKazini ila la mfumuko wa bei , hahusiki. Ingekuwa hivyo...
  12. Guselya Ngwandu

    Rais Samia hahusiki kupanda kwa bei ya mafuta, zijue sababu za kweli

    Bei za mafuta duniani zimepanda hali ambayo imeathiri pia bei za mafuta hapa Tanzania. Kupanda kwa bei za mafuta sio jambo geni, limewahi kutokea mara nyingi duniani. Na mara nyingi sio suala la nchi moja, athari zake hufika duniani kote. Tumekuwekea sababu 5 ambazo kihistoria na uhalisia...
  13. Guselya Ngwandu

    Bunge Live larudi. Kuoneshwa kuanzia Aprili 5, 2022 katika mkutano wa saba wa Bunge la Bajeti

    Katibu wa Bunge, Nenelwa Mwihambi amesema baada ya maboresho ya Studio ya Bunge na Kamati ya Uongozi ya Bunge kuridhia vikao vya Bunge vitaanza kurushwa live kuanzia kesho Jumanne Aprili 5, 2022. Akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dodoma leo Jumatatu Katibu wa Bunge, Nenelwa Mwihambi...
  14. Guselya Ngwandu

    Mpasuko mkubwa CHADEMA Mbeya mjini, Msigwa avunja uongozi huku walioondolewa wakimpinga. Ni mparaganyiko mkuu

    Kilichokuwa Chama kikuu cha Upinzani Tanzani, CHADEMA kimeendelea kuwa na wakati mgumu baada ya viongozi katika kanda muhimu za Kaskazini na pamoja le ya Nyanda za Nyasa (nyanda za juu kusini) kutofautiana vikali na kushambualiana hadharani. Huko Arusha mjini kumewaka vibaya, lakini huko Nyasa...
  15. Guselya Ngwandu

    Sugu ashauri watu waache pombe ili kuikomoa Serikali. Unakubaliana naye?

    Aliyewahi kuwa Mbunge wa Mbeya kupitia CHADEMA, Joseph Mbilinyi ameshauri watu kuacha kunywa pombe ili waikomoe Serikali ikubali kukaa mezani kujadili Katiba. Sugu amesema kwa mawazo yao wao CHADEMA ni vyema Serikali ikakosa kipato (Ishindwe kuhudumia wananchi na watu wakose ajira), na hilo...
Back
Top Bottom