Recent content by gurumeti

  1. G

    JamiiForums Tanzania CCM Oktoba 2020 tunaomba Ubunge ubaki kuwa nafasi za uongozi si ajira

    Umeongea vema hasa kwamba wabunge wamekuwa waajiriwa badala ya wawakilishi. Ni kweli hakuna ubunifu kabisa majimboni. Mbunge ni kiongozi anatakiwa kumobilise siyo kila kitu kusubiri serikali. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. G

    JamiiForums Tanzania Picha ya Mwigulu Nchemba na Mwanae yazua mjadala mitandaoni

    smart people can not discus this.
  3. G

    JamiiForums Tanzania Ubinafsi wa Mnyika: Atumia Pesa Yote ya Mkopo wa Gari Kufanya Uwekezaji DSE

    Mnyika endelea kuwekeza, inalipa!
  4. G

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa CHADEMA Taifa huu hapa

    Ukitaka kujua chadema ni uchaga wewe jifanye kichaa kugombea uenyekiti taifa.....
  5. G

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa CHADEMA Taifa huu hapa

    Ukitaka kujua chadema ni uchaga, wewe jifanye kichaa kugombea uenyekiti taifa......, kamuulize kitila mkumbo!
  6. G

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa CHADEMA Taifa huu hapa

    ukitaka kujua ni uchaga mtukula, wewe jifanye kichaa kugombea uende kitu taifa.......,
  7. G

    JamiiForums Tanzania Kumbe Nape Nnauye ni mjinga hivi

    Ujinga hapo upo wapi? Chama kina utaratibu wa kutoa taarifa rasmi, hao waliotoa matokeo ndo wajinga.
  8. G

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa special thread

    Hata wewe ulikuwa team lowasa, umeasi tu baada ya kusikia Tetesi......, simama imara!
  9. G

    JamiiForums Tanzania CCM imedhihirika kukomaa kisiasa lakini...

    Sishangai lowasa kukatwa , nashangaa januari kapenya vipi au ndo anaandaliwa uwaziri mambo ya nje?
  10. G

    JamiiForums Tanzania Reginald Mengi kugombea Urais

    Hatuitaji rais kama mengi.
  11. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake mnafanya hivi jamanii?

    Story ndefu sisomi, sina muda.............. Acha uzinzi.
  12. G

    JamiiForums Tanzania KKKT: kufungisha ndoa mnatoza 100,000/=!

    Hujaenda kanisani mda mrefu, lipia upate ndoa.
  13. G

    JamiiForums Tanzania Picha: Yaliyojiri Kigoma katika mazishi ya Shida Salum (Mama yake Zitto)

    tunashukuru kwa taarifa hizi
  14. G

    JamiiForums Tanzania Sakata la Mbasha: Kanisa la Ufufuo na Uzima Tunasema...

    umejaribu kueleza lkn, hujaweka wazi kwa jamii. kama watu hawa ni waumini wa kanisa hilo wkanshe anisani.....
  15. G

    JamiiForums Tanzania Picha - Barabara za juu kwa juu zitakavyobadili sura ya jiji Dar

    nchi kutekeleza mradi kama huu inahitaji watu makini na wala si fedha
Back
Top Bottom