Kumbe Nape Nnauye ni mjinga hivi

Kumbe Nape Nnauye ni mjinga hivi

eti anaulizwa majina 5 ni yapi anasema atayataja kesho sanne, bila kujua kua kuna wajumbe mule ndani hawakuelewana, watatoa siri either wataambia ndugu zao au jamaa zao, mbona watu tumejua majina 5 toka jana tu kikao kilipomalizika basi hata hyo sanne usituambie tushajua
Ujinga hapo upo wapi? Chama kina utaratibu wa kutoa taarifa rasmi, hao waliotoa matokeo ndo wajinga.
 
Wewe ndio umechotwa ile ilikuwa mbinu kuwafanya mkalale wafanye mambo yao taratibu.
 
DUUU CCM balaa, wanaua mtu hivihivi. Hivi atapona kweli au ndio kiharusi na safari moja kwa moja??? POLE BABAAKEE
 
Back
Top Bottom