we naye sijui ni mwanaume au mwanamke mbona mwandiko wako umekaa ki umbea mbea ivo
hata mwalimu alipokuwa anafundisha ulikuwa huelewi, itakuwa hii ya kujisomea peke yako..poleAta mimi sijauelewa eti
hata mwalimu alipokuwa anafundisha ulikuwa huelewi, itakuwa hii ya kujisomea peke yako..pole
ngoja nikutukane moyoni tu..ila ujumbe umekufikia..stop dating boys tusije kuja kuona kibagia chako kwenye udaku