gilaibomba
JF-Expert Member
- Jun 11, 2015
- 352
- 92
Mzee Mtei aliwahi kuwa Katibu Mkuu wa Eac...waziri wa fedha...gavana wa bot.aliwahi kuzuiliwa kwenye border ya Namanga.....aliwahi pia kufanya kazi IMF.Aliwahi kutoa ushauri wa ku teremsha thamani ya shillingi yetu ili kuinusuru isianguke..ushauri haukuzingatiwa hatimae shillingi ikaporomoka.aliwahi kutoka chama tawala na kuanzisha chama cha demokrasia na maendeleo ndiyo hichi kiitwacho CHADEMA.Kuanzishwa kwa chama hicho kulikuwa na watu wa makabila tofauti kutoka mikoa tofauti.kumbuka wakati huo Mwalimu alikuwa hai na asingeweza kuubariki ujinga wa kikabila nchini..na usalama wa taifa ulikuwa unafanya kazi EXTRA MILE naamini mpaka sasa unafanya hivyo.Mwalimu...Sokoine.....uhujumu uchumi..tulitupa TV...tulitupa pesa....vigogo walitiwa ndani hakukuwa na mchezo na tulipendana ndio maana tukafanikiwa.Tuzirudishe fikra nzuri za wakati huo...mazuri tuyachukuwe na ambayo hayatakuwa na faida na sisi tuyaache......tupendane...tusaidiane na tufanye ibada...one day mimi au wewe tutaondoka na hatutarudi tena.