Wewe inaelekea una hasira na Aweda, Njoo Mbulu kwetu, fika mpaka hadi kata ya Haydom halafu ndo utakuta Aweda amesha jenga nyumba ya uhakika tena kubwa sana. Na hii ndo sababu huku wanajua siku moja atakuja kugombea ubunge japo nasikia yeye anataka kugombea Dar.
Lakini kwani kukosa nyumba ni...
Mbona mimi sioni tatizo mkuu, si ni kweli Lowasa anaimba bomu la ajira na hafanyi lolote ila anatumia hoja hiyo kusaka urais. Hofu yako ni Aweda kushughulikiwa? Mimi sidhani, wawaache akina Mbowe waanze kumfikiria Aweda, Mwache awachape ktk majukwaa ya JF na ITV. Hawatamdhuru madara yake madogo...
Mkuu tuweke pembeni ushiriki wake ITV, tujadili hoja hii inayohusu mustakabali wa Taifa letu. ametaka abadilishe kuwa iko confirmed kuwa wako central. Wamekamatwa, ama wamejipeleka si hoja. Hoja ni kuwa wako central na polisi wanawahoji.
Mkuu naona unairudia hii hoja mara nyingi.
Hebu tuambie huko alikoenda (kusettle nje ya mahakama) madai yake yalikuwa ni nini? Na kwa nini Slaa alikataa upatanisho huo, kama hiyo story yako ni kweli? Unadhani Slaa ana akili ndogo sana kiasi hicho! Hivi yeye angetulia kimya nini kingeharibuka...
Nahisi kuna mtu analengwa, why 2012 and not 2005 or 2011? kwani alianza urais mwaka 2012? Nijuavyo mimi, maamuzi ya serikali hii ni subjective always, not objective. Tusubiri tuone.
Bob Nyanga Makani ni mmoja wa waasisi wa CHADEMA, ni Msukuma, Mwislamu kutoka Kutoka Shinyanga na katibu mkuu wa Kwanza wa CHADEMA.
Katibu mkuu ndiye mwenye siri zote Chama, ndiyo anakaa na mafaili yote, ni mwajiri wa wafanya kazi wa makao makuu nk.
Nimejifunza mambo yafuatayo.
Mosi, Kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.