ukimgusa israel maana yake unapambana na USA, ktk hiyo vita israel alishambulia ndege zikiwa ground na kwa msaada wa USA,hivyo vya uganda wakina museven walikuwa wanafanya nn upande wa tz?uganda ilikuwa imegawanyika ndani kwa ndani na bado tulikutumia almost two years.
hahaaaa kwa hiyo kwenye vita techonology haisaidiii,unataka nambia tz tunasifika kwa askari wetu kupasua mawe na kichwa au kukalia misumary...?,nacho jua tz tupo nyuma sn kivita coz tunatumia silaha duni sn...!
bro hakuna anaejua kinachofata baada ya kifo zaidi ya kutishana tu.....,coz hakuna alienda akarudi zaidi ya bla bla tuuu! unaweza ukute huko ni full bata na tunajichelewesha tu.....
bro ktk hayo maeneo ndio kwetu though nipo mwanza kikazi,mtu yoyote anaetoka huki anaweza connect dots kujua source and roots ya hayo matatizo....sema tu system yetu na intellegecia haipo smart as we would like.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.