Dada anusurika kufa kwa kujitupa baharini leo akitoka Dar kwenda Zanzibar

huyo dada angejirusha wakati wa kurud dar angekua keshakufa wakati wa kurudi dar mawimbi yanakua makubwa kuliko wakati wa kwenda zanzibar na pia huyo ni mzawa wa zanzibar hivyo anajua kuogelea
 
Ok lets go..Binadamu WA kwanza alikua Nyani kisha akabadilika akawa binadamu,sawa au si sawa??
bro hakuna anaejua kinachofata baada ya kifo zaidi ya kutishana tu.....,coz hakuna alienda akarudi zaidi ya bla bla tuuu! unaweza ukute huko ni full bata na tunajichelewesha tu.....
 
Yasemekana aliyoroka kwao akaja dar kwa mwanamume mjomba akamuwahi akamrudisha hivyo hasira zikamtuma kuirusha majini huenda ni aibu au kumkosa mwanaume
 
huyo dada angejirusha wakati wa kurud dar angekua keshakufa wakati wa kurudi dar mawimbi yanakua makubwa kuliko wakati wa kwenda zanzibar na pia huyo ni mzawa wa zanzibar hivyo anajua kuogelea
Acha kukariri wewe. Kwahiyo wa Zanzi Bar wote wanajua kuogelea?
 
757ddcf3e874ff434efc7f0d1f5e5a86.jpg
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Stupidity rescue drill hiyo sawa ila wizara ya viwanda wakapachika bajaj iliyoungua kisha wakafukiza moshi ati jengo linaungua kumbe fire drill pumbavu zao.
 
Back
Top Bottom