TANGU Waziri wa Haki wa Swaziland, Ndumiso Mamba, anaswe kitandani anavunja amri ya sita na mke wa Mfalme wa nchi hiyo, Makhosetive Dlamini ‘Mfalme Mswati III', hali ni mbaya kwa wake wa kiongozi huyo.
Mamba, alinaswa kwenye kitanda cha mke wa 13 wa mfalme huyo, Nothando Dube na tangu...