Ushauri: Angalia Matiti ya wanawake uongeze umri wa kuishi!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri: Angalia Matiti ya wanawake uongeze umri wa kuishi!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by gumzomatata, Sep 26, 2012.

 1. g

  gumzomatata Member

  #1
  Sep 26, 2012
  Joined: Sep 26, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  Tuseme wewe ni mwanamume na watafuta mchumba , kitu gani utakachoangalia kwanza kabisa?. Yaani kivutio cha kwanza ni kipi? Utavutiwa na nini au sehemu gani ya mwanamke?
  Pole .Umekosea ,sivyo unavyofikiria?
  Utafiti wa hivi karibuni unaonyesha kitu cha kwanza kabisa wanaume anachoangalia katika mwanamke ni matiti. Naam Matiti.
  Chuo kikuu cha Victoria University of Wellington nchini Uingereza, kimefanya utafiti na kubainisha kwamba kabla ya mwanamume kuangalia tabia, elimu au nasaba ya mwanamke wao hupiga jicho kwanza kabisa kifuani kuangalia kukoje?
  Haya,mimi nadhani utafiti huu ulifanyiwa wazungu peke yao, sio waafrika. Lakini ndio utafiti wenyewe huo.
  [​IMG]

  Tuseme wewe ni mwanamume na watafuta mchumba , kitu gani utakachoangalia kwanza kabisa?. Yaani kivutio cha kwanza ni kipi? Utavutiwa na nini au sehemu gani ya mwanamke?
  Pole .Umekosea ,sivyo unavyofikiria?
  Utafiti wa hivi karibuni unaonyesha kitu cha kwanza kabisa wanaume anachoangalia katika mwanamke ni matiti. Naam Matiti.
  Chuo kikuu cha Victoria University of Wellington nchini Uingereza, kimefanya utafiti na kubainisha kwamba kabla ya mwanamume kuangalia tabia, elimu au nasaba ya mwanamke wao hupiga jicho kwanza kabisa kifuani kuangalia kukoje?
  Haya,mimi nadhani utafiti huu ulifanyiwa wazungu peke yao, sio waafrika. Lakini ndio utafiti wenyewe

  KWA HABARI KAMILI BOFYA HAPA GUMZO LA JIJI
   
 2. m

  mzeelapa JF-Expert Member

  #2
  Sep 26, 2012
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 1,034
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Kweli ww ni Gumzomatata
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Sep 26, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Ni kama vile anavyofanya michuzi au umeteleza?
   
 4. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #4
  Sep 26, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Ina maana siku hizi wanaume wanaoa matiti badala ya kuvutiwa na upendo wa dhati na wa kushibana.By the way tafiti hiyo haijajitosheleza mbona hujatuambia kuwa sasa wanaume wakishaangalia asilimia kadhaa wanapenda matiti yaliyolala,wengine yaliyosimama,wengine makubwa,wengine madogo nk
   
 5. kichwat

  kichwat JF-Expert Member

  #5
  Sep 26, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 1,824
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  suala la kuangalia matiti kwanza ni la NATURE. Tunafanya hivyo si kwa ujanja wetu, bali kupima FERTILITY kwa namna aliyoiweka Mungu mwenyewe. Nature is simply perfect.
  Na si matiti tu, naturally tunavutiwa na miguu na mapaja yalojaa kama kipimo cha uwezo wa kuhimili ujauzito.
  Kuna vitu flani kuhusu nature ukivijua utamkubali Muumba.
   
 6. Wamunzengo

  Wamunzengo JF-Expert Member

  #6
  Sep 26, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 810
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  Hayo ni ya huko ulaya. Huku bongo, wengi twaangalia kwanza wo wo woooo!!!! he he heee!!!! wacha ncheke mie!!!
   
Loading...