Recent content by gulit

  1. G

    JamiiForums Tanzania Kama Chelsea watashinda leo? natembea uchi toka posta mpaka Ubungo

    mhhhh mi sina la kusema hapo!!!!
  2. G

    JamiiForums Tanzania Magufuli vunja jengo la TANESCO

    swala sio kuvunja, issues kwa nini uharibu kitu cha gharama namna hiyi. Alafu ile ni mali ya umma. Barabara inaweza kuhamishwa!! Magufulu yuko mechanical sana, barabara inaweza ikifika pale ikafanyiwa mapambo lile jendo likawekwa katikati kama round about fulani hivi na pakapandwa na garden...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Mtaji 2ml Biashara gani unaweza fanya uka break through kwa haraka??

    mhh ni biashhara nzuri ila link ya kuwapata hao housegirls ndo issue
  4. G

    JamiiForums Tanzania Mtaji 2ml Biashara gani unaweza fanya uka break through kwa haraka??

    nashukuru ndugu yangu. nitafanyia kazi ushauri wako, japo ukinifafanulia zaidi itanisaidia sana
  5. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani bado natafuta binti aliye single ani PM, ni kwa mabinti tu wakaka haiwahusu

    pata=bata
  6. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani bado natafuta binti aliye single ani PM, ni kwa mabinti tu wakaka haiwahusu

    Hana longolongo nyingi
  7. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani bado natafuta binti aliye single ani PM, ni kwa mabinti tu wakaka haiwahusu

    ahahaha aisee we mkali, swaga zako za gharama zinaonekana ukizifanya vizuri zina work!!! big up expert
  8. G

    JamiiForums Tanzania Kidume bado kiko fiti ile mbaya...!

    what do you mean, fafanua sijakuelewa vizuri
  9. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sex Partner

    are you she or he?
  10. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani bado natafuta binti aliye single ani PM, ni kwa mabinti tu wakaka haiwahusu

    Serious, Binti aliye single na anataka bwana wa ukweli and reliable wa kula nae pata na kila kitu tuwasiliane.
  11. G

    JamiiForums Tanzania Mtaji 2ml Biashara gani unaweza fanya uka break through kwa haraka??

    Bandugu mm ni mwalimu wa shule ya msingi, nisaidieni mawazo kwa mtaji wa 2ml nitoke vipi
  12. G

    JamiiForums Tanzania Gen. Kagame: “ Its a matter of time”

    principle ya wanajeshi especialy wa vyeo vya juu kuanzia major, kwanza hawaogopi kuuwa au kuamrisha mauaji. Pili wakichukua au kupindua dola cha kwanza ni kuwamaliza wale wote aliokuwa nao karibu maana wanajua mbinu na siri zake. Kagame anafanya the same maana kawauwa wengi na pengine atajiona...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Nyerere Hakuwa na mapungufu, alikuwa Kiongozi Mbovu!

    Kawaulize M7, Kagame na Wamsumbiji watakwambia hakuna raisi mzuri kama JK Nyerere maana aliwasaidia wote kuingia madarakani na sasa wanatuzidi kiuchumi!!!
  14. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nataka kumsaliti mume wangu

    aahahah weeee dont try this kumu home!! ni hatari
  15. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania jaman nipo serious i need a man 28 to 30 ma self nipo 25

    aisee 25 kwa mdada unaelekea kuzeeka, jitahidi hope utapata, ila punguza vigezo hasa vta dini na umri. dini kubali yoyote ilimradi mtu awe mwelewa na umri weka labda max 40. We boyz ktk age ya 28 na 30 ndo hasa mtu anajitahidi ku set maisha, utakuta ndo amemaliza chuo amepata kazi mshahara...
Back
Top Bottom