jaman nipo serious i need a man 28 to 30 ma self nipo 25

kiukweli mda wangu umefika ss wa kutaka kustick na one guy atakaenipenda nimpende mpaka kufa!sifa awwe anajitambua,smart boy,employed or self employed,hofu ya Mungu ila awe mkristo!nimeshawahi kuwa na mvullana na nikastay naye about a year n above tukaachana!nimekaa mda nafanya mambo yangu ss ule mda wa kuitwa baby na mm nauhitaji na nimemis!

Mbona bado unampenda x wako nae anakupenda sana? au hulijui hilo? mawasiliano yenu huoni dalili kwamba anataka kukurudia? tuliza mind yako. (nimeamka kiProphet leo)
 
Utoto unakusumbuwa ukikuwa utayaelewa maisha.

Kumbuka hata Mama yako aliyekuzaa Baba yako akifa watu wanaoa vilevile. Acha kashfa kid.

umefika mbali huko, mama yangu hayupo hata mtandaoni, mtoa uzi kasema mwenyewe kuwa ni used about a year nd above so what ar u complain for? Km umemind mzigo poa kamata fursa hiyo. Acha tabia ya kutaja wazazi pasipo wahusu kuwa mstarabu bora unitukane mm kuliko kutaja mzazi wangu, unajua alipo? Kuwa makini!
 
pole mpendwa, wazo lako sio baya ila unafikiri kijana utakayempata hapa atakuwa na haja kama ya kwako? kwasababu haumjui mwema ni yupi, kwa kufanya hivi siutakuwa wewe ndio umemshawishi kijana akuoe? je, mwisho wake unafikiri utakuwaje? Mpendwa wazo langu ni hili tambua hatua unayoiendea ni hatua kubwa ktk maisha na ndiyoitakayo changua uwe mzazi wa namna gani. haiwezekani nikaja kwako leo nawewe ukanikubalia kuwa mumeo, namanisha mke/mume hatoki mbali yaani lazima ww au rafiki zako au ndugu zako wawe wanamfahamu tabia yake, je' kwa hapa unaweza kumfahamu mtu tabia yake kweli. Mimi naona kama kwa hapa unataka kuyachezea maisha yako kamari

kuwa makini mpendwa, na
umtangulize MUNGU.

ni swali tu, hivi ulikuwa unamjua mpenzi wako kabla hamjaonana? Na je ulikuwa unajua tabia zake? Upendo huanzia popote haijalishi ila wakati uliotarajiwa ukifika anapatikana yule ambaye ameandaliwa kwako. Huwezi kujua Mwenyezi Mungu amepanga watu wakutanie wapi maana wengine hukutana baa,barabarani,kwenye daladala,mashuleni n.k lakini leo ni wanandoa
 
Hiv kat ya wanaume na wanawake jinsia ipi ina idadi kubwa ya wanachama cs naona ukubwa w tatzo kuzd kuongezeka kwa upande wetu wa kiume huku kukiwa na sinyofaham kibao
 
aisee 25 kwa mdada unaelekea kuzeeka, jitahidi hope utapata, ila punguza vigezo hasa vta dini na umri. dini kubali yoyote ilimradi mtu awe mwelewa na umri weka labda max 40. We boyz ktk age ya 28 na 30 ndo hasa mtu anajitahidi ku set maisha, utakuta ndo amemaliza chuo amepata kazi mshahara kiduchu hafikirii sana kuwa na couple itamletea stress.

kiukweli mda wangu umefika ss wa kutaka kustick na one guy atakaenipenda nimpende mpaka kufa!sifa awwe anajitambua,smart boy,employed or self employed,hofu ya Mungu ila awe mkristo!nimeshawahi kuwa na mvullana na nikastay naye about a year n above tukaachana!nimekaa mda nafanya mambo yangu ss ule mda wa kuitwa baby na mm nauhitaji na nimemis!
 
Back
Top Bottom