Hahahah! unajua watu muwe mnaacha utani, hasa kwenye vitu ambavyo huna elimu yake au hata uzoefu wowote, bila kuegamia upande wowote kwa akili ya kawaida tu ivo ndo interview zinavyojibiwaga kweli! Mtu anaulizwa swali la moja kwa moja anazunguka na kuleta maelezo marefu ili kupoteza muda na...
Bank zote zina makato ila Standard Chartered kuna afadhali, Ingawa wafanyakazi wenzangu wanasema wanakatwa ila mimi ni tofauti sijawahi kuona nimekatwa nina miaka sasa!
Kuna mtu alinifungulia hii account mseto,
Ni kweli nimeendelea kupekua nimekuta cheque book imekatwa mwanzoni, na io annual fee, ndo makato ninayoyaona kwenye B. Statements na haina malipo ya mwezi itakua ndo io Hifadhi Account nafikiri
Mzee baba, nimefanya review kwenye b. statements zangu, Transsaction zote nazielewa ila nimekuta moja ambayo nilikua siijui me mwenyewe ambayo inaitwa Annual Debit Card Fee, apo wamekata buku 10, ATM card nimeishaipoteza mara mbili na nikapewa mpya, sijaona makato yake kwenye Bank Statements, na...
Standard Chartered Bank! Nina Account uko, Jamaa hawana njaa kabisa sina ninchokatwa zaidi ya malipo ya kutoa hela kwenye ATM tu, Cheque Book bure na hata ukipoteza kadi unatengenezewa bure bila charge zozote.
Hawa jamaa nawakubali sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.