Wanadai ni effects za covid 19 na containers hazipatakani...
Check hii link
.
https://www.cnbc.com/2021/11/19/surging-shipping-costs-to-drive-consumer-price-inflation-unctad-says.html
Gharama zimebadilika sababu kubwa ni nchi yetu tunategemea sana vitu kutoka nje... sasa sea freight charges have gone so high compared to previous years na bado zinaongezeka hii imepelekea kuongeza gharama kwenye malighafi na bidhaa zinazoingizwa nchini ili kucover ongezeko hilo... mwanzoni mwa...
Hongera kwa mtoto....
Atumie..
1. Uji wa pilipili manga
2. Ale sana mchemsho wa kuku au ndizi
3. Supu ya Nyanya chungu...
Hapo maziwa lazima yatoke tena kwa wingi sana....
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu upo vizuri... Hawa jamaa wanajua sana kucheza na akili za bongo lala, mchina anakuja juu sana sasa wanatafuta namna ya kuji-differentiate kwa styre za kitofauti kbs
We UDSM ya wap huyu kasoma... Hakunaga accountant kilaza anaemaliza ata CPA hajui n nn... Tafuta kz fanya interview hakuna vya rais rais siku hz!! Juhudi zako zitakufikisha unapotaka ukitaka pm utangoja saana
Gwajima in Mchungaji asiependa unafki kwenye ukwel anasema na wakivurunda ataongea pia... hii ndo aina ya wachungaji tunaowataka sio wanaosema pokea nyumba cjui safar na kz huna
kuna wazungu n vichwa maji super mbururaz... mm hua nasema kitu kibaya alichotufanyia mzungu si kututawala ila kutufanya tujione we are inferiors and they are superior race so tukajenga dependency n everything ila kizaz cha sasa tunabadilika sasa hv ... I'm 20z but nimeshanunua kiwanja cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.