Recent content by guen

  1. G

    JamiiForums Tanzania Is this the world's biggest baby?

    It is jst abnormality..
  2. G

    JamiiForums Tanzania Kwa waliozaliwa tarehe hizi

    Achana naye huyo rafik, na huyo babu anavyowapa watu presha ndo basi tena.. Excel anataka watu tuwe na ndoa za lazima.. Hatutaki magumegume...
  3. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kwamba wanaume wengi wanapenda wanawake weupe?

    Ushasema vitu na tunaongelea ngozi za watu hapa.. Rejea iyo reference yako..
  4. G

    JamiiForums Tanzania Kwa waliozaliwa tarehe hizi

    Ctaki mume Excel, nashangaa statistics za mjengoni.. And pls tell me babu ni nani humu mjengoni.. Maana lady niece anavyotishiwa babu..
  5. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kwamba wanaume wengi wanapenda wanawake weupe?

    Bac ni hisia zako binafsi manking na hazina generalization yoyote.. Kisayansi upo chaka..
  6. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kinadada Wote Piteni Hapa

    Side effects: kupata makunyanz mapema, magonjwa ya ngozi, na majeraha kushindwa kupona kwa wale wanaojichubua... Pia gharama ambazo ni unnecessary.. Wengine wanajiuza just for that reason.. U don't need to be artificial to look beautiful, & mwanaume mwenye akili tulivu huwez kumpata kwa njia...
  7. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dada zetu mnaboa kutuonyesha miraba ya nguo zenu za ndani

    Nakubaliana na wewe.. Ni laana kweli alaf kumbuka wengine wapo kazini hapo.. Wanasema biashara matangazo...
  8. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kwamba wanaume wengi wanapenda wanawake weupe?

    Cdhani km kuna uhusiano wa rangi ya ngoz name unachokisema.. Km una uthibitisho wa kisayansi saw a, ila km ni cyo ni maneno tu ya waswahili...
  9. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kwamba wanaume wengi wanapenda wanawake weupe?

    It depends on man kwakweli.. Ila couple nyingi wamemix mweupe na mweuc.. Sawa weupe una mvuto ila ukiwa wa asili na sio mchina...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Je kuna ujanja wa kuzaa mapacha kwa kupenda?

    Wa* hedhi
  11. G

    JamiiForums Tanzania Je kuna ujanja wa kuzaa mapacha kwa kupenda?

    Jamani me nakushaur umwone doctor (specialist/gyno) atakusaidia.. Wenyewe wanajua tareh zipi za kupata mtoto wa kiume au wa kike, pia mapacha kwa kuangalia mzunguko was hedhi wa mwanamke wako.. So, try that kaka..
  12. G

    JamiiForums Tanzania Mwanamke Ang'ata Uume wa Mumewe na Kubaki Kipisi

    Huyo mwanamke alikua na mengine tu rohoni. Lingekua hilo tu acngeweza kumng'ata mumewe 7bu hakufungwa kamba hapo kitandani...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Babu noma

    Bac huyo babu hakuwah kutoka hata kijijini kwao...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Kwa waliozaliwa tarehe hizi

    Jamani, wanawake tupo wengi kuliko wanaume.. Iweje mjengoni wanaume ndo muwe wengi???
  15. G

    JamiiForums Tanzania Hello everyone

    Thnx..
Back
Top Bottom