Recent content by gudagu

  1. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Man city will soon start to drop points

    Ni kweli mkuu hata udhindi ule aliyokuwa akipata mwanzo haupo zaidi ya match ya juzi usiku
  2. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Mkuu unaijua Chelsea kitambo ila Kuna mambo huwa hufatilii huyo kocha unaye msema alifukuzwa kwa matokeo kama hihivi, ila huwa kunaupepo huwa unapita kwa wachezazi huwa wanaharibu maksudi mm nadhani bod au Tajiri kwa sababu ukiangalia Moses, hazad, William siyo mpira wao huo
  3. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya mke wangu kunisaliti sasa ndoa yangu inapita kipindi kigumu

    Hapana usimbeze kila watu tumetofautiana inawezekana IKIWA kweli
  4. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya mke wangu kunisaliti sasa ndoa yangu inapita kipindi kigumu

    Haya mambo bhana kila mtu na mtazamo wake kulingana na jinsi alivyo tumeshuhudia Kuna watu wameoana lakini mwanamke anatoka Bila kujificha na ndoa ipo imara na mwingine hawezi kuvulia
  5. G

    JamiiForums Tanzania Mke wa Kafulila, Bi. Jesca Kishoa aondolewe CHADEMA haraka iwezekanavyo

    Acheni hofu hakuna mtu wa mhimu sana ambaye anaweza kuleta madhara makubwa aliye hama labda usikie mnyika, halima, msigwa, Lema, pr j, mbilinyi, na wengine makamanda wa kweli lakini Hao wachumia tumbo wasepe tu.
  6. G

    JamiiForums Tanzania Biashara ya samaki

    Unapatikaba wapi? Bei nzuri ngapi?
  7. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania My confession: Maji yamenifika shingoni, naamini ukweli humuweka mtu huru

    Kama mwanaume wako wa ndoa ulimpeda kweli kwa nini ukubali na kumsaliti
  8. G

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Msiwabomoleshe Mwanza, hata kama wamekosea ndio walionipa Urais

    MI mwenzenu ninamengi sana kusema kiasi siwezi maliza lakini ki ukweli tuna tatizo nchi hii inabidi kumuomba sana mungu atuvushe hapa tulipo
  9. G

    JamiiForums Tanzania Maelezo ya Bernard K. Membe, Kuhusu Fedha za Deni la Libya

    Viongozi wote wakubwa aslimia kubwa hakuna msafi
  10. G

    JamiiForums Tanzania CCM: Adui namba moja Tanzania

    Sasa kama ni adui tunafanyeje?
  11. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke bora na mwema

    Wapo lakini wamepungua sana, tofauti ya wanawake wa Zamani na sasa ni kuwa wanawake wengi wa Zamani waliona fahari kuolewa na wengi walikuwa hawajishughulishi sana na ajira hivyo mme ndiyo ilikuwa kila kitu Hali hii ilisaidia sana kuwafanya kina mama kuwa waminifu na watii, hata sasa Kuna...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Hivi ITV tofauti na taarifa ya habari, wana nini kingine cha ziada?

    Walishawekwa mfukoni tayari
  13. G

    JamiiForums Tanzania Hivi Mange Kimambi ana elimu gani?

    Yupo vizuri sana
Back
Top Bottom