Recent content by gudaa

  1. gudaa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Masaada: Kwenye maswala ya internet (IT)

    kufanya hio business ili upige izo buku buku unaweza jikuta unatoa $10000 apo TCRA kama fine , sheria yao hairuhusu , Ila ku extend kwa matumizi yako binafsi its fine
  2. gudaa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada kwa mwenye uzoefu na soundbar za Vizio

    Napataje hii
  3. gudaa

    JamiiForums Tanzania Vituko vya google translate

    kama ipi chief ?
  4. gudaa

    JamiiForums Tanzania Hivi shida nini?

    wanganganie juu tatizo ni lao anii
  5. gudaa

    JamiiForums Tanzania NACTE! elimu sio vita

    nani ajasoma sasa..|| nimesemea ivo juuu niko ktk field hio husika
  6. gudaa

    JamiiForums Tanzania NACTE! elimu sio vita

    umeandika mambo mengi ila hakuna point broo... kuna watu hayo uyasemayo yako ktk routine na mambo yanaenda ... kama haupo field husika usiseme sana ..
  7. gudaa

    JamiiForums Tanzania NACTE! elimu sio vita

    usiseme ivyo maana haupo field hio.... ww kaa kwa kutulia ww
  8. gudaa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama hauwezi kulipia VPN Tumia TOR circuit bure kama mbadala

    ww na mm akili ziko sawa since #2017 nikogo na TOR + 911re proxies
  9. gudaa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wale wa Apple/iPhone nawasalimu jamani, maisha yanakwendaje uko offline?

    option ya kuinstall app pasi na appstore ipo na najua na naweza kuistall sikia kila kitu ni akili tuh naamini mm kitu kimoja kama hujui kitu usikae kubisha anii pasi na kuwa na facts #nkupe highlight kidogo google jinsi ya kutumia cydia impactor utaelewa sasa
  10. gudaa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wale wa Apple/iPhone nawasalimu jamani, maisha yanakwendaje uko offline?

    ss ata hao android users kuna ambao hawajuii piaa i know sideloads ya ios na android pia but sion kama ina umuhimu sana kwa mtu asiye na mambo mengi #utajuahujui
  11. gudaa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wale wa Apple/iPhone nawasalimu jamani, maisha yanakwendaje uko offline?

    sio kwelii mzee ' hu jailbreak na mzigo unapiga fresh tuh
  12. gudaa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wale wa Apple/iPhone nawasalimu jamani, maisha yanakwendaje uko offline?

  13. gudaa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wale wa Apple/iPhone nawasalimu jamani, maisha yanakwendaje uko offline?

    izo apo nyingine nn
  14. gudaa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wale wa Apple/iPhone nawasalimu jamani, maisha yanakwendaje uko offline?

    usikariri ata mkuu
Back
Top Bottom