Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,913
- 10,742
vilaza!
nani ajasoma sasa..|| nimesemea ivo juuu niko ktk field hio husikaHuo msuli nimeumaliza na nnauelewa sana unafkr nikucheza kibaba na kimama huko chuo?
Apambane
Kama wapo wanao faulu ujue hiyo siyo vita.Gonga nyanga dogoNACTE badilishen mifumo yenu ya matokeo elimu sio vita mkiwaiga TCU sio vibaya. Yaani diploma ya AFYA kama unachukua degree ukikaa vibaya utasoma Ata kwa miaka 7.. Ukitoka apo kwnye msoto uo uanze kuangaika tena kwnye mitiani ya kupata leseni kwa bodi husika...
Awa jamaa Kila component uwe above 50 kwnye paper za end of semester!.. Yan kwa somo moja MF. Somo "X" theory ya somo X Uwe above 50, na practical ya somo X uwe above 50.. Tofaut na apo Una SUPP. wajomba Ata 46 nayo ni marks.. Alafu wanasiasa....
Ukija kusapua unasupua Somo zima theory na practical yake.. Fanyeni hiv tu nimefeli somo "X" practical basi nikija kusapua nisapue io io practical niliyofeli sio component zote theory & practical..
#nawasilisha
Kwa sababu chini mko vilaza wengi.Mie tayali nishamaliza kwa wakati.. Ila naongelea struggle tu za uko.. Kama afya kitu nyeti Sana kwa nin system izo izo zisiwepo level ya Bachelor za AFYA.. Kwa y uko chin tu
3. Kukosekana kwa vitabu katika maktaba za vyuo.Miundo mbinu kwa ajili ya kujisomea isiyokidhi idadi ya wanachuo wanaodahiliwa.