NACTE! elimu sio vita

NACTE! elimu sio vita

Soyuncu

Senior Member
Joined
Nov 20, 2019
Posts
193
Reaction score
230
NACTE badilishen mifumo yenu ya matokeo elimu sio vita mkiwaiga TCU sio vibaya. Yaani diploma ya AFYA kama unachukua degree ukikaa vibaya utasoma Ata kwa miaka 7.. Ukitoka apo kwnye msoto uo uanze kuangaika tena kwnye mitiani ya kupata leseni kwa bodi husika...

Awa jamaa Kila component uwe above 50 kwnye paper za end of semester!.. Yan kwa somo moja MF. Somo "X" theory ya somo X Uwe above 50, na practical ya somo X uwe above 50.. Tofaut na apo Una SUPP. wajomba Ata 46 nayo ni marks.. Alafu wanasiasa....

Ukija kusapua unasupua Somo zima theory na practical yake.. Fanyeni hiv tu nimefeli somo "X" practical basi nikija kusapua nisapue io io practical niliyofeli sio component zote theory & practical..

#nawasilisha
 
Ukizungumzia afya unazungumzia uhai wa binadamu watu serious wanahitajika.

Naungana nawewe elimu sio vita ila kwenye uhai kunahitajika watu wapambanaji kung'amua mambo.

Ukitaka vitu petty petty unaweza kusoma kozi zingine mkuu
 
Kaza mkuu, wote unaowaona wamevaa makoti au magauni meupe huko mahospitali wamepita njia hiyo hiyo, sasa iweje we ndo uone ngumu sana wakat wengi tu wametusua kiasi cha kushindwa kuajirika wote kutokana na wingi wao,
 
This is true, examination system lazima itazamwe upya. Nasikia watoto wamefeli sana mwaka huu. Na vyuo hawatoi matokeo ya watoto kwa wakati wanayabana sijui wanatafuta nini/nini kiko nyuma ya pazia?
 
Mie tayali nishamaliza kwa wakati.. Ila naongelea struggle tu za uko.. Kama afya kitu nyeti Sana kwa nin system izo izo zisiwepo level ya Bachelor za AFYA.. Kwa y uko chin tu
 
Mi tayali nimepita flesh naongelea struggle tu za uko chini
Kaza mkuu, wote unaowaona wamevaa makoti au magauni meupe huko mahospitali wamepita njia hiyo hiyo, sasa iweje we ndo uone ngumu sana wakat wengi tu wametusua kiasi cha kushindwa kuajirika wote kutokana na wingi wao,
 
Aaah si mchezo matokeo sio mazul.... Hadi aibu na kinachochaingia hii system ya above 50..
This is true, examination system lazima itazamwe upya. Nasikia watoto wamefeli sana mwaka huu. Na vyuo hawatoi matokeo ya watoto kwa wakati wanayabana sijui wanatafuta nini/nini kiko nyuma ya pazia?
 
Hahaha yan izi system TCU nao wakiiga sijui itakuaje.. Yan mwisho wa semester vyuo vyote mnafanya paper Moja.. Anaetunga na anaeshaisha wala humjui...
Hatutaki mtu overdose

Pambana na hali yako.
 
Tayari SUPP za wizara (tanganyika) zimeshika mtu hapa soma sana acha mazoea ya secondary utafaulu vizuri,

sheria ndo imetungwa kila mwisho wa semester kuwepo na mtihani ambao utatungwa kwa pamoja, hivyo NACTE wanatekeleza tuuu sheria ya CURRICULUM.

Kama 50 unalia hivi je leseni 60 passmark utasemaje,
 
Tokeo limetoka nipo flesh naongelea struggle za uko chini hali ni mbaya
Tayari SUPP za wizara (tanganyika) zimeshika mtu hapa soma sana acha mazoea ya secondary utafaulu vizuri,

sheria ndo imetungwa kila mwisho wa semester kuwepo na mtihani ambao utatungwa kwa pamoja, hivyo NACTE wanatekeleza tuuu sheria ya CURRICULUM.

Kama 50 unalia hivi je leseni 60 passmark utasemaje,
 
Asee kama kuna mahali wanatakiwa kukaza ni huku katika masomo ya kozi za afya.

Mitihani siyo migumu hata kidogo.Na mfumo wa kupima umerahisishwa kiasi kwamba mtu anayefeli anakuwa amestahili kabisa kufeli.

Kwa nini wanafeli wengi.

1. Ni uzembe na kutokujituma kwa wanafunzi wa siku hizi.Muda mwingi wanataka wautumie kwenye social media,na maisha ya anasa za kijinga.Vi party kila siku hasa birthday party na kujiingiza katika mapenzi ya wao kwa wao.

2. Hali mbovu ya uendeshaji na usimamizi wa vyuo vinavyotoa mafunzo.
Unakuta vyuo vinakusanya pesa nyingi sana na vinakuwa na wanafunzi wengi mno,ila wanashindwa kuwapeleka mafunzo kwa vitendo kwa masaa yanayotakiwa na mtaala.Halafu hakuna anayejali.Si mwanafunzi,si wamiliki wa vyuo wala wizara ya afya na nacte wenyewe ndio wala rushwa namba moja.

3. Kukosekana kwa vitabu katika maktaba za vyuo.Miundo mbinu kwa ajili ya kujisomea isiyokidhi idadi ya wanachuo wanaodahiliwa.

4. Udhibiti wa wizi wa mitihani uliofanywa safari hii na wakuu wa mafunzo wizarani.
Miaka mingi imekuwa kawaida kwa baadhi ya kozi kupata mitihani.Naona mwaka huu wamefanikiwa kudhibiti ndio maana unaona vilio vingi huku.

Mwisho naomba NACTE waendelee kukaza maana kuna watu wameingia mtaani baada ya kuhitimu tena na GPA ya 5 ila ni majanga matupu.Inasikitisha sana kwa jinsi wanavyohatarisha maisha ya watu huku mtaani
 
umeandika mambo mengi ila hakuna point broo... kuna watu hayo uyasemayo yako ktk routine na mambo yanaenda ...
kama haupo field husika usiseme sana ..
 
Tanzania ni nchi ya ajabu sana, hivi mtu inawezekana vipi hauna sifa za kusoma kozi fulan kwenye fulan alafu wakuchague? Mwisho wa siku unaenda chuon hawakutambi[emoji16][emoji16] nimeshindwa hata kumeza mate
 
usiseme ivyo maana haupo field hio.... ww kaa kwa kutulia ww
Huo msuli nimeumaliza na nnauelewa sana unafkr nikucheza kibaba na kimama huko chuo?

Apambane
 
Back
Top Bottom