Uko sahihi, kwa mtu aliyecheza au angalau kufuatilia mpira kwa muda atakuwa anajua penalty aina ya panenka hupigwa katikati ya goli anapokuwa golikipa kabla haijapigwa.
Sasa ili uweze kufunga ni lazma ipigwe in a slow motion ili kuruhusu kipa aondoke hilo eneo otherwise ukipiga kwa kasi...
Ukitazama parts za proposal utaona kuwa statement of the problem na literature review zinatangulia kabla ya research topic. Hii sio bahati mbaya bali ndivyo inavyopaswa kuwa, yaani hivyo viwili ndivyo huzaa “research topic” yako.
Kwa muktadha huo, shida ipo kwako kwa kuwa umepata research topic...
Hizi aina za vijana wa siku hizi ni challenge sana, ukiangalia nyuzi zao humu za malalamiko dhidi ya mabinti/wanawake unagundua kuwa jamii ina upungufu wa wanaume.
Sijui ndio matokeo ya malezi toka kwa baba dhaifu wa zama hizi au ndio tunaanza kushuhudia matokeo ya malezi ya ‘singo maza’?!
By...
The way huyo jamaa anajibu inaonekana uelewa wake juu ya mambo ya uhasibu na kodi (VAT in particular) ni mdogo. Watu wengi hufanya blunders kwa mazoea sababu hawajawahi shikwa basi wanaona ni utaratibu sahihi siku akibambwa ndio anaanza kuwaona TRA Tanzania waonevu.
Mtu anaposema VAT inatesa ni...
Mkuu kama umelipwa mauzo/huduma uliyotoa na VAT then ukatoa risit bila VAT kwanza muhusika hatakubali na hata akikubali hapo unakuwa umeiibia serikali kodi na ushahidi juu wa kujifunga.
Kuna namna ya kufanya ila nimechoka siwezi kuelezea cc: TRA Tanzania kama wamo humu
Mkuu, unawezaje kumtenga rais wa club na club kwenye jambo hili? Kuna mambo unaweza kumtenga lakini sio hili.
Assume iko kama unavyowaza, je na mchakato wa kuidhinisha fedha za club 100M kwenda CCM nao aliufanya peke yake bila wahusika wote kwenye mchakato wa kuidhinisha pesa kuhusika?! Kama ni...
Nadhani anaposema ni ‘project zao’ ana maanisha kipo compromised tokea ndani yaani kimejaa mapandikizi na hakipo hapo kutimiza lengo lolote la kisiasa zaidi ya kiini macho.
Chukulia mfano wa vyama kama CUF bara, NCCR, TLP na UDP vyote vinafahamika ‘ni project’ lakini kwa muda tu huwa havipati...
Huyo hakuwahi kushinda, kama juzi tu kashindwa kutoboa kura za wajumbe jiulize alipitaje last time? Ni mbeleko za magufuli ndani ya chama na baadaye akaiba uchaguzi kuwafanya wabunge.
Kama serikali inambambika kesi zisizo hata na ushahidi, unamnyima haki zake ikiwemo kuonana na ndugu wala mawakili wake, unamuweka sero ya watu walio hukumiwa kunyongwa, wali attempt hadi kuzuia asiletwe mahakamani kesi isikilizwe kwa mtandao kinyume na sheria.
Watu wa namna hii kwa akili yako...
Kama la kupewa sumu likitakiwa kufanywa kwa njia hiyo uliyo eleza basi hata hao askari magereza wataambiwa wasimzuie kuwa na contact na watu.
Alipotakiwa kupigwa risasi hadi walinzi waliondolewa getini kwenye makazi ya viongozi yanayo lindwa 24/7.
Kati ya anayedai features ambazo hazija kamilika na asiyejali kuwa kuna vitu vimepungua ni nani “amenyooka”?
Halafu kwenye biashara hakuna mteja mdogo kwa maana ya value ya kitu anacho nunua mteja.
Kama kweli we ni customs agent kama ulivyosema basi utakubaliana nami kwamba hawa wateja wa IST...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.