Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,272
- 114,526
Ya mchongo
Na wewe unaamini ndo kajipinda hivyo kupiga penalty ya kuwapa ushindi!?, kilichowarudisha Senegal uwanjani ni nini!?,huna akili na hujui kwamba huna akili(low reasoning capacity)
Aliambiwa ajikoseshe ndo maana wachezaji wa Senegal hawakushangilia. Mpira kuisha vile ilikuwa fedheha kwa Morocco. Huwezi kuelewa kama haupo tayari, hiyo ilijadiliwa haraka Senegal akahakikishiwa fair play kunusuru situation.morocco walivyokamia ushindi wafanye upuuzi kama huo? ile alikosa na baada ya kukosa hakuwa sawa mpaka akatolewa!
Aliambiwa na nani?Aliambiwa ajikoseshe ndo maana wachezaji wa Senegal hawakushangilia. Mpira kuisha vile ilikuwa fedheha kwa Morocco. Huwezi kuelewa kama haupo tayari, hiyo ilijadiliwa haraka Senegal akahakikishiwa fair play kunusuru situation.
Mane alimfata kipa na kumwambia watu wa kushoto tuta linaenda kushoto kwake..yaani Mwarabu amuachie Kombe mtu mweusi mfalme wao aligoma kutoa Kombe..Mkuu upo sahihi, situation ya Senegal kugoma kuendelea na mchezo ingeleta fedheha kubwa kwa Morocco na CAF, sababu wamebebwa sana. Akashawishiwa Mane awaambie wenzake warudi ili ipigwe penalty feki ziongezwe dk 30 pambano lianze upya. Ndo maana alipiga vibaya makusudi kuua soo. Baada ya pale refa akaanza kuwa fare hadi mwisho. Illa mara nyingi watu wanaojionaga wanajua ndo hua hawajui kama mleta mada.
Hawa watu ni kuwaonea huruma utakuta hapo ana Elimu yake nzuri tu ya kuunga na super glue..Aliambiwa na nani?
Inasikitisha sana mkuu ukimwambia alete ushahidi usio na shaka ataanza kujiuma uma.Hawa watu ni kuwaonea huruma utakuta hapo ana Elimu yake nzuri tu ya kuunga na super glue..
Ukitaka uvumishe kitu cha hovyo na watu wengi wakifuate wapelekee Watanzania..Inasikitisha sana mkuu ukimwambia alete ushahidi usio na shaka ataanza kujiuma uma.
imagine DIAZ angefunga pale kwa style yake hiyo ya upigaji. hizo stori za kusema amejikosesha ni za kutetea kitu ambacho hakipo. Kwani diaz alikuwa anapiga penati ili iweje,si ili afunge? Maamuzi ya refa hayahusiani na matokeo ya yale aliyoyaamua!Unamfahamu Diaz kweli wewe?
Hakuna Professional anaweza kupiga hivyo goli la kuamua ubingwa dakika ya nyongeza!!
Kwanza angefunga hilo goli lilikuwa ni kunogesha record kwake kufunga magoli mengi msimu mmoja wa mashindano hayo.
Huo ni mchongo hata kwa common sense tu,simu zimepigwa kama nini!!
Diaz alikuwa anapiga penalty ili dakika 30 za nyongeza zitumike kuamua bingwa!!imagine DIAZ angefunga pale kwa style yake hiyo ya upigaji. hizo stori za kusema amejikosesha ni za kutetea kitu ambacho hakipo. Kwani diaz alikuwa anapiga penati ili iweje,si ili afunge? Maamuzi ya refa hayahusiani na matokeo ya yale aliyoyaamua!
Aguero akiwa man city alipiga tuta kipa huyo huyo mechi na Chelsea alipiga panenka kama hiyo sema kama umeangalia mpira sana utaona wanaokosa panenka na wanaopata ukikosa inaonekana ni Tuta la hovyo kuwahi kutokea ila ukipata ni tofauti..Unamfahamu Diaz kweli wewe?
Hakuna Professional anaweza kupiga hivyo goli la kuamua ubingwa dakika ya nyongeza!!
Kwanza angefunga hilo goli lilikuwa ni kunogesha record kwake kufunga magoli mengi msimu mmoja wa mashindano hayo.
Huo ni mchongo hata kwa common sense tu,simu zimepigwa kama nini!!
Penalties za ligi hazina mashiko, tunazungumzia final ambayo Morocco ni mwenyeji halafu wamefika hapo baada ya miaka 22!!Aguero akiwa man city alipiga tuta kipa huyo huyo mechi na Chelsea alipiga panenka kama hiyo sema kama umeangalia mpira sana utaona wanaokosa panenka na wanaopata ukikosa inaonekana ni Tuta la hovyo kuwahi kutokea ila ukipata ni tofauti..
Fatilia Panenka penalty toka alienza kupiga wakosaji na wafungaji naona mpira umeanza juzi kufatilia mnataka kila tuta liwe goli..Penalties za ligi hazina mashiko, tunazungumzia final ambayo Morocco ni mwenyeji halafu wamefika hapo baada ya miaka 22!!
Tanzania mpaka mataahira yote yaishe ndo CCM itatoka madarakaniBrahim Diaz hapigagi penalty na mguu wa kulia kama hapo,iyo ni week foot kwake!
Halafu kama kweli alikua ana nia ya kufunga,ile penalty hawezi piga kwa dharau ivo,!
Yani penati ya ubingwa fainali kabisa upige Paneka kweli??!
Uko sahihi, kwa mtu aliyecheza au angalau kufuatilia mpira kwa muda atakuwa anajua penalty aina ya panenka hupigwa katikati ya goli anapokuwa golikipa kabla haijapigwa.Aguero akiwa man city alipiga tuta kipa huyo huyo mechi na Chelsea alipiga panenka kama hiyo sema kama umeangalia mpira sana utaona wanaokosa panenka na wanaopata ukikosa inaonekana ni Tuta la hovyo kuwahi kutokea ila ukipata ni tofauti..
Al ahly walicheza fainal moja na Wydady bahati mbaya kwao uwanja wa fainal ulipangwa kabla utatumika wa Wydad na Timu zote zikafika fainal uwanja wa Morocco Al Ahly akaenda akafungwa pale baadae wakaja kulalamika mechi ziwe mbili kweli Motsepe kwa kutaka kura akarudisha mechi mbili fainal uliona wapi..Uko sahihi, kwa mtu aliyecheza au angalau kufuatilia mpira kwa muda atakuwa anajua penalty aina ya panenka hupigwa katikati ya goli anapokuwa golikipa kabla haijapigwa.
Sasa ili uweze kufunga ni lazma ipigwe in a slow motion ili kuruhusu kipa aondoke hilo eneo otherwise ukipiga kwa kasi utamkuta kipa hajaondoka au ndio ameanza kuondoka kwa hiyo anakuwa na chance kubwa kuokoa.
Nakubaliana nawe kuwa panenka ikifungwa ni penalty nzuri sana kutazama ila kinyume chake ikiokolewa inageuka kituko kwa mpigaji.
Kama ingekuwa ni mpango wa fair play basi Diaz angepiga nje moja kwa moja kwa sababu kulenga goli wakati hatuoni mawasiliano yoyote kati ya Mendy na Diaz ilikuwa ni ubahatishaji wa hali ya juu. What if mmekubaliana kisha penalty ikaingia? Mtakataa tena au?
Mane kabla ya yote alionesha msimamo wa kutosusia na ndio maana hakutoka uwanjani kama wenzake.
Yule ni senior player anaye heshimika sana Senegal, ndio maana hata Diouf alimuita Mane kuongea naye na si kocha na alipoamua Mane team irudi hadi kocha hakubisha.
Waarabu kila siku hata mashindano ya clubs kila siku wanashinda kwa hila eti leo waone haya, hao jamaa wamezoea vya kunyonga hata team yao pamoja na ubora walionao imefika final kwa mbeleko.