Tumia moja Kati ya hizi
1. Thunder
2. Duduba
3. Ninja au karate
Namba 1 ukiikuta ipo good cuz inaua wadudu wa kutafuna na kufyonza (sucking insects) , sijui unanielewa?
Labda huelewi
Mbeya yenyewe wanataka dayosisi Yao sio kuihamisha dayosisi! Kama vile hii dayosis ilivyoombwa toka Iringa! Yaan wanakonde waliomba dayosis Yao kwani wamekuwa na wanataka wajitegemee! Hivyo hivyo mbeya wanataka dayosis Yao wajitegemee! Si kuhamisha dayosisi
Halafu unaposema...
Juzi nimekutana na kabinti kangu,kana umri wa miaka 5
Kanasema baba wazungu wanataka kutuua kwa kutuchoma sindano shuleni! Wazungu watu wa shetani, mm siendi shulen tena
Namuuliza nani kakwambia haya , anasema ni mwalimu!
Mkuu
Pole kwa tatizo Hilo
Nakushauri kapime tena sickle cell! Nina binti angu , nilihisi ana ugonjwa huo tangu azaliwe, niliamua apimwe sickle cell for first time , results ni negative
Lakini bado nilikuwa na wasi wasi sana, maana dalili za sickle cell mtoto alizionesha zote! Niliendelea na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.