Bukoba: Mungu ashindwa kutokea Mahakamani kutoa ushahidi kwenye kesi inayomkabili Mchungaji Merchades Mugishagwe

Alikuwa na kazi ingine ya kufanya akashindwa kufika
Mungu yupo sehemu zote na wakati wote.
Tatizo ni lile andiko linalosema ''Heri wenye moyo safi maana hao watamuona Mungu"
ndo maana nikasema je hakimu ana moyo safi?
 
Mchungaji Merchades Mugishagwe ni baba aliyegoma kuwaandikisha shule watoto wake kwa madai kuwa imani yake haiamini katika elimu ya dunia.

Februari 2021 alikamatwa na polisi kwa amri ya mkuu wa Wilaya ya Bukoba, Deodatus Kinawilo akidaiwa kukaidi agizo la kuwaandikisha watoto wake watatu shule.
Ukiachia mambo ya imani mbali,huyu jamaa mimi nilimuelewa vizuri
sema yeye alikosea kumchanganya Mungu ndani ya mambo yake ya akili ya kuzaliwa.
Kwa waliozaliwa na kusoma zamani kama mimi,watakubaliana na mimi kwamba tuliosoma enzi za mwalimu Nyerere
kiukweli ndo tulifaidi kitu inaitwa elimu bure.

Sasa serikali ya sasa ilisema elimu bure,wakati mtoto ananunuliwa kila kitu
kinachohusu shule na mzazi,na mpaka sehemu nyingine mzazi analipa nauli
ili mtoto afike ile shule anakoenda kusoma hiyo elimu ya bure,Huo si ni uongo wa mchana?

Mi naona huyu jamaa kaisababishia serikali kubadilisha kauli mbiu
kutoka ''elimu bure'' kuwa ''elimu bila ada" kwa tunaoelewa
tunaona huyu jamaa kafikisha ujumbe kwa njia isiyo sahihi
kama alivyofanya bwana mukwawa.
 
Kwa mara nyingine tena, Mungu huyu ni hadithi za watu tu.
Inategemea na imani yako. Ukiamini yupo itakuwa sawa. Na ukiamini hayupo itakuwa sawa pia maana hayo yote yanatokana na judgement yako.
Ukisema ni hadithi ni sawa na ukisema sio hadithi unakuwa sawa pia, as per your own thinking, choices and decisions.
 
Inategemea na imani yako. Ukiamini yupo itakuwa sawa. Na ukiamini hayupo itakuwa sawa pia maana hayo yote yanatokana na judgement yako.
Ukisema ni hadithi ni sawa na ukisema sio hadithi unakuwa sawa pia, as per your own thinking, choices and decisions.
Kwa maana hii ukiamini wewe umemzidi Jeff Bezos kwa hela na ni tajiri wa kwanza wa dunia leo, hilo litakuwa kweli.

Ukiamini kwamba ukipanda ghorofani ghorofa ya 20 ukajirusha malaika wa Mungu watakudaka, utajirusa watakudaka tu.
 
Malalamiko ya mwisho ya mchungaji baada ya hakimu kuhitimisha case

"Mungu huwezi kumuona kwa Macho ya kawaida, he can only be detected by holy spirit. Na ndio kitu ambacho hakimu amekosa"
Mahakama Haina dini

Hii kesi ukisema mfano shetani ndie aliyesababisha nikaiba mahakama itapanga tarehe ingine ya kesi kuwa siku hiyo uje na huyo shahidi wako shetani mahakamani

Huyo alisema Mungu alimwambia asisomeshe watoto wake wadogo shule ndio hakimu akamwambia amlete siku ya kesi atoe ushahidi
 
Back
Top Bottom