Recent content by gregorio

  1. gregorio

    JamiiForums Tanzania TANZIA Waziri Celina Ompeshi Kombani afariki dunia

    R.I.P mama Kombani.
  2. gregorio

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wangu ni makalio wako je?

    Naona unsifia michirizi. Mimi kwangu naona bonge ya uchafu wa ngozi. Unaweza kufikiri punda milia. Hongera zao walio smart kwenye ngozi zao
  3. gregorio

    JamiiForums Tanzania Kwanini ndugu zetu wapemba hawana vichogo?

    Huwa nawasikitikia mablack wa huko visiwani. Kuna either mwafrika au mwarabu. Sasa utamkuta mtu mweusi alafu anakuambia yeye ni mwarabu. Ukienda kwa waarabu wababaguliwa ukija kwa weusi wanabaguliwa. Yaani hawana utambulusho. Pole zao
  4. gregorio

    JamiiForums Tanzania Yusuph Manji aibuka kidedea tuzo za viongozi wa biashara Afrika

    Hongera Manji.
  5. gregorio

    JamiiForums Tanzania Je, ni kwa kiwango kipi umeme mpya wa gesi utashuka bei?

    Tanesco imezoea kutuibia. Mimi ninachotaka ni uhakika wa kuwepo umeme basi. Kupungua kwa gharama nyingine tusubiri hadi ujio wa YeSU kwa mara ya pili
  6. gregorio

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kwamba White people wana akili kuliko Blacks?

    Ufanyike utafiti wa ubongo wa mzungu na mwafrika zaidi ya hapo mtakuwa mnajadili siasa ambazo niza uswahilini. Vipimo vya ubongo ndio litakuwa jibu hapa.
  7. gregorio

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mme wa mtu, ila nimempa staff wangu mimba, nifanyaje?

    Hiyo ni tabia chafu. Umekosa uaminifu kwenye ndoa yako. Inawezekana pia ukawa umepata ukimwi
  8. gregorio

    JamiiForums Tanzania Mwisho wa kukata umeme ni lini?

    Tatizo la umeme limekuwa sugu sana. Hadi leo mimi sijaelewa ni kwanini hali imekuwa hivyo. Je, wenye mamlaka ya kututesa kwa kutuweka gizani ni lini watatuhurumia na kubaini kuwa huu umeme ni tegemeo kwa wajasiriamali wengi?
  9. gregorio

    JamiiForums Tanzania Nimekuwa na mahusiano na mke wa marehemu rafiki yangu, je nimueleze mke wangu?

    Mumemuogopesha sana. Itakuwa ni HIV maana isingekuwa hivyo angekuwa amejibu. Kwa maana yeye alikuwa rafiki wa karibu sana na marehemu
  10. gregorio

    JamiiForums Tanzania Askofu Kilaini amvaa Dr. Slaa kuhusu Maaskofu kuhongwa na Lowassa

    Ila mimi ninamaoni tofauti. Slaa hawezi kuwa mwendawazimu jamani. Mnajua maaskofu nao ni binadamu kama binadamu wengine. Kama kilaini ilipata mgao wa escrow inawezekana pia wapo wengine waliopata mgao wa .............
  11. gregorio

    JamiiForums Tanzania Askofu Kilaini amvaa Dr. Slaa kuhusu Maaskofu kuhongwa na Lowassa

    Waliotuhumiwa ni maasikofu wa katoliki na yeye nisehemu tu ya tec kwani yeye ndiye msemaji wa TEC siku hizi. Atuambie zile za Escrow alizipeleka wapi
  12. gregorio

    JamiiForums Tanzania Msaada: Hatua za kuachana na mume wa ndoa

    Nenda kwa padre au dc
  13. gregorio

    JamiiForums Tanzania PhD ya Magufuli na wanasiasa wengine zichunguzwe upya!

    Inawezekana anayemponda makufuli kuhusu elimu yake hata csee form iv hana. Kwanini usije kivingine
  14. gregorio

    JamiiForums Tanzania Dawa za uume kutosimama vizuri

    Ale nyama choma nusu kilo ambayao imechomwa hadi medium rare anywe na bia mbili au tatu alafu asubirie matokeo
Back
Top Bottom