mxsdk
JF-Expert Member
- Aug 11, 2014
- 3,585
- 2,045
1.dr kikwete
2.prof.lipumba
3.prof muhongo
4.dr tibaijuka sasa nimepata jibu
Waizi wa pesa za uma....!
1.dr kikwete
2.prof.lipumba
3.prof muhongo
4.dr tibaijuka sasa nimepata jibu
mzungu akiwa na miaka 17 teyari ashaanza kujitegemea na kaondoka home kitambo but afrika mtu hadi miaka 40 bado yupo home na anategemea wazazi for each and everything
what I know Blacks were created to be dominant from gene to everything. Whites have just managed to treacherously degrade black people and most blacks has accepted it!
Ukweli ni kwamba if you are smart and you work with them, they are happy when you make mistakes because they are jealous of your smartness!
niambie kama kuna mchezo wowote ambao blacks they don't dominate
niambie which science blacks people haven't put any handful contribution in it despite marginalization
tell me which music and movies dont have blacks dominance
tell me the dominance of blacks in politics despite being marginalized
etc.
Blacks have extra ordinary gift from God, the only biggest problem now is the way we are smart in a positive side, we can also be very smarts on the negative side and the white people has capitalized on this.
Yeah, ni kweli
Ewaaa,
Tunarudi kule kule kwenye mazingira. Utamaduni nao ni sehemu ya mazingira.
Kwa hiyo tukija kwenye swala la "nature vs nurture" tatizo letu Waafrika si "nature" (kwamba hatuna akili) bali ni "nurture" (kwamba hatuna mazingira yanayofanya innovation ku flourish)
Na mpaka sasa hatuwezi kuingia katika utamaduni huu kwa sababu kuna old guards wanaofaidika na kuendelea kwa utamaduni wa kizamani. Na huu utamaduni umeota mizizi mara nyingine unakuta hata vijana wamepandikizwa ujinga huu, wengine hata hawajitambui haya mambo yanaoperate kwenye subconscious level.
Ndiyo maana mpaka leo utakuta kuna member vijana wamo humu hawaishi kumtetea na kum excuse Kikwete, kisa nini? Eti rais ni symbol of a nation, ndiye chifu wetu, ndiye baba mwenye nyumba kwa hiyo hawezi kusemwa.
Wakati Wafaransa washaua wafalme sana tu, tena si wafalme tu, mpaka na vijakazi wao na nobility yote, kwenye French Revolution.Leo wanaheshimiana, ukitaka kuleta ujanja ujanja Wafaransa migomo nje nje, wakati wao wana maisha bora kuliko sisi.
Lakini sie ambao tunalipwa mshahara wa January June - if at all- bado tunapiga kelele "Kidumu Chama cha Mpainduzi"
Unaona ngoma yetu ilivyo ngumu?
Ukiniuliza kwa nini tuko hivi, nitakujibu ni "nurture" si "nature".
kabla ya kuchangia hoja hii ili uje na majibu ya ndiyo au hapana, unatakiwa uelewe NIN MAANA YA AKILI?
Ufanyike utafiti wa ubongo wa mzungu na mwafrika zaidi ya hapo mtakuwa mnajadili siasa ambazo niza uswahilini. Vipimo vya ubongo ndio litakuwa jibu hapa.